Rais Samia katukomesha wenye Diploma kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu

amfifiro

Member
Jun 17, 2021
24
29
Ama kweli mwema ni mwema hata akionekana mbaya. Siku 100 za mama samia zilikua siku za kupanga ukandamizaji dhidi ya watu wenye stashahada wenye lengo la kuchukua shahada.

Nikiwa kama muhanga wa tatizo hilo. Nimeumia sana kuona sina sifa wanazoita za kisheria kufika elimu ya juu..

Hii inatokana na ufinyu wa nafasi kwenye vyuo vya serikali na private. Lengo langu lilikua ni kusoma udaktari.
Nimeomba vyuo vitano huku viwili vikiwa vya serikali vitatu private. Nina uhakika asilimia 99 vyuo vya private ningeweza kupata nafasi. Ukilinganisha nafasi walizotangaza ni nyingi sana. Kuna vyuo vya serikali wanatangaza nafasi 5 wengine 2.

Ada ya chuo 6.7milions. Kwa private. Nilihis nitakuwa na sifa ya kupata mkopo japo niliambiwa Mwaka jana rafiki angu alipata 3.2tution fee. Nyingine alitop up.. Wakati nikiwaza kutop up. Mkeka umetoka hakuna sifa kwa waajiriwa. Mshahara wa Mwaka mzima ni kama million 6.9.

Yaaaani kila kitu nimepoteza tu..
Nawaza nifanyeje wadau nipeni maoni,
 
Sasa wew ni mwajiriwa unataka mkopo wa Nini??? Mbona unataka kujitia umaskni tuliza akili kubali kupoteza mambo yote jisomeshe acha kujitia hsara pesa ya mkopo inakwendaga katika mirad yenye tija TU ambayo itakuwa na faida kwako na familia yako hyo elimu ukifa haina Tija kwa watoto wako

Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa wazo lako
 
We fahamu tu umezeeka bodi hawawezi kukupa mkopo.. Mkopo ni wa vijana waliosoma mfumo rasmi wa elimu(Direct) na sio kuungaunga.. Wewe kasome kwa pesa zako usiwatie doa vingozi.
We ndo hujui kitu, hakuna aliyesema kwa kuunga unga, diploma holder wana qualify kupata mkopo isipo kuwa walio ajiriwa. Bad enough hakuna kiongozi alietiwa doa, wewe tu ndo unaona ivo. Ila sishangai kwa sababu wewe sio mtanzania. Ungekuwa
Mtanzania ungejiita shombe la kitanzania.. Kuliko kujiita shombe la kigaidi. Kwenu kumeungua kwa ujinga wenu Leo mpo tz ety usiwachafue. Viongozi. Na mtapigana hadi mwisho wa dunia nyie.
 
mkuu huoni unakua selfish? wewe una ajira tayari

mkopo ni kwa ajili ya watoto maskini, we diploma ya CO unakula 680k gross kwa mwezi unaweza kujisomesha vizuri kabisa.

hebu wacha watoto wa wanyonge wapate hio mikopo
 
Bwege Huyo hajielewi.. Me nishaachanane.. Yaaan MTU anaajira then linakuja kulialia shenzi sana, anadhan mkopo unatolewa ili akaongee makoloni..
 
Mimi pia ni mhanga, lakini heading na paragraph yako ya kwanza ni upuuzi mtupu na sikuungi mkono.

Lengo lako ni kumchafua mama ambaye kwa sasa ukimsema ovyo mbele ya watu timamu tunakamatana mashati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fala huyo mtoa mada nishamchana live toka mda,, why aanze kumchafua mama wakati ye ndo takataka.. Huyo astahili kabisa kupewa mkopo na bodi..
 
We ndo hujui kitu, hakuna aliyesema kwa kuunga unga, diploma holder wana qualify kupata mkopo isipo kuwa walio ajiriwa. Bad enough hakuna kiongozi alietiwa doa, wewe tu ndo unaona ivo. Ila sishangai kwa sababu wewe sio mtanzania. Ungekuwa
Mtanzania ungejiita shombe la kitanzania.. Kuliko kujiita shombe la kigaidi. Kwenu kumeungua kwa ujinga wenu Leo mpo tz ety usiwachafue. Viongozi. Na mtapigana hadi mwisho wa dunia nyie.
We kweli mpumbavu na sijui kama huko chuo kikuu kama utakuweza..habari za uraia wangu zinakujaje tena zinakuhusu nini..?
Sasa endelea kusubiri bodi ikupe mkopo huku inakashifu viongozi.. Wewe naamini hata ukipewa ubalozi wa nyumba 10 utakushinda sembuse huo urais unakuja kublameblame hapa
 
Ama kweli mwema ni mwema hata akionekana mbaya. Siku 100 za mama samia zilikua siku za kupanga ukandamizaji dhidi ya watu wenye stashahada wenye lengo la kuchukua shahada.

Nikiwa kama muhanga wa tatizo hilo. Nimeumia sana kuona sina sifa wanazoita za kisheria kufika elimu ya juu..

Hii inatokana na ufinyu wa nafasi kwenye vyuo vya serikali na private. Lengo langu lilikua ni kusoma udaktari.
Nimeomba vyuo vitano huku viwili vikiwa vya serikali vitatu private. Nina uhakika asilimia 99 vyuo vya private ningeweza kupata nafasi. Ukilinganisha nafasi walizotangaza ni nyingi sana. Kuna vyuo vya serikali wanatangaza nafasi 5 wengine 2.

Ada ya chuo 6.7milions. Kwa private. Nilihis nitakuwa na sifa ya kupata mkopo japo niliambiwa Mwaka jana rafiki angu alipata 3.2tution fee. Nyingine alitop up.. Wakati nikiwaza kutop up. Mkeka umetoka hakuna sifa kwa waajiriwa. Mshahara wa Mwaka mzima ni kama million 6.9.

Yaaaani kila kitu nimepoteza tu..
Nawaza nifanyeje wadau nipeni maoni,

Acha kulalamika, una ajira kabisa unashindwaje kujisomesha ?? Acha uboya
 
Soma public health Open University kama ipo.
 
We kweli mpumbavu na sijui kama huko chuo kikuu kama utakuweza..habari za uraia wangu zinakujaje tena zinakuhusu nini..?
Sasa endelea kusubiri bodi ikupe mkopo huku inakashifu viongozi.. Wewe naamini hata ukipewa ubalozi wa nyumba 10 utakushinda sembuse huo urais unakuja kublameblame hapa
Acha ushoga wewe.... Mbona umewasha saaaaaana na uraia.... Ungekua huku ungefilimbwa mbwa wewe..
 
Hujui kiswahili na wote mliochangia in a negative way ni wapuuuz wakubwa aidha hamjasoma kabisa..
Neno koma halina tusi wala halichafui chochote. Fungua apo kwenye kamusi. Ya kiswahili.. Kama itakuambia lolote ni tusi.

Ujinga mlojengewa kwenu ukiambiwa koma. Unaumia fara ww. Kumbe koma manake fikia mwisho.
 
Back
Top Bottom