Bukondamoyo
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 458
- 487
Kama kichwa cha habari kisemavyo naomba msaada wakuu kuna dogo langu hapa nimsaidie kucheki.
Tamisemi kwenyewe hakuna..
Labda uongo
Daah sijui hazijatolewa link nimetafuta kila go.Tz hakuna.
Tamisemi kwenyewe hakuna.
Labda uongo
Asante
Wakumbushe wakasome kweli, 2023 sio mbaliNafurahia sana vijomba vyangu kupita alipopita mjomba special school zote
Uzuri wamepangwa combination ambazo nilikuwa nawataka wakasome ili tu wasije kusomea tz degree zaoWakumbushe wakasome kweli, 2023 sio mbali