Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) bado haijafungua dirisha la maombi, kwanini?

nsalu

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,108
1,106
Bodi ya mikopo mlitoa tangazo dirisha la maombi ya mkopo kwa mwaka 2021/2022 litafunguliwa tarehe 01 July 2021, lakini hadi muda huu halijafunguliwa na hata website yao inasumbua kufunguka.

Ingekuwa vzr kama kuna mabadiliko yoyote mngetujulisha wadau tukajua.
 
Screenshot_20210701-112548.png
Screenshot_20210701-112727.png

Kama picha tu jamaa waliona uvivu kuiweka katika vipimo ili ikae sawa wakaamua kuipandisha hivyohivyo sembuse kutoa updates za mara kwa mara?
 
Yn watu wengine ni vichwa maji kabisa, wametangaza kabsa siku dirisha litakapofunguliwa lkn bado mtu anakuja kuanzisha mada huku. Nenda kasome ule muongozo utaona tarehe
 
Back
Top Bottom