Naomba msaada kuhusu IT

Naomba msaada kuhusu IT

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
4,810
Reaction score
6,441
Nina mwanangu wa kike, matokeo ya kidato cha nne si mazuri, lakini kuna mtu kaniambia kwa matokeo yake anaweza kuanza na certificate in IT.

Naomba kujua mtu mwenye division 4 ya 27 inawezekana akakubaliwa kusoma IT?

Iwapo inakubalika ataweza kuendelea na diploma kisha degree?

Natanguliza shukrani, maswali zaidi nitauliza nikijibiwa haya.
 
Kwanini usimpeleke chuo cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma
 
Skuiz IT wanataka uwe na pass Ya Mathematcs kwaio kama anayo anayo inawezekama mpaka ata masters
 
Back
Top Bottom