navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 156
- 167
Wakuu kwema, samahani kwa mwenye kujua fee structure ya Master ya physics chuo kikuu Cha dar es salaam naomba anijuze.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
Nimeingia lakini sijaelewa mkuuIngia UDSM.AC.TZ
Thanks mkuu, Ila hapo haija indicate kuhusu research
CONAS masters zao ni Tshs 10000000 research funds.Thanks mkuu, Ila hapo haija indicate kuhusu research