Naomba kujua software ya kuuza vitabu hapa Bongo

Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
2,672
2,697
Sasa jamii yetu imeamka, sasa jamii yetu ni jamii ya watu wenye kiu ya maarifa, wakuu napenda kujuzwa software ambayo itaniwesha kuuza vitabu na machapisho mbali mbali ili niwafikie hadhira ya Waswahili kwa urahisi.

Karibuni wanajamvi.
 
Ha ha watanzania hawana culture ya kusoma vitabu hiyo biashara mkuu itachacha.labda ungekuwa umbeya tena fupi fuppi i mambo marefu hatujazoea .tumezoea kutumia macho kuangalia movies na masikio tu kusikiliza miziki.
 
ni kweli lakini kila kitu huanza na hulka
 
Back
Top Bottom