Nawapongeza sana udsm kwa kuwa source ya mabadiliko, ila nashangaa kwanini vyuo vingie vipo kimya? Muhi2, kcmc, bugando, saut, tumaini inamaana ninyi hela inatosha? Au rice cooker zinawadanganya...
Tafakuri
NILIKUWA miongoni mwa watu waliohoji sababu za msingi za Dk. Shukuru Kawambwa kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alipoteuliwa mwaka jana baada...
Bado nipo na nyie wanafunzi wa elimu ya juu. Kumbukeni ya kuwa ninyi ndio chachu ya mabadiliko yoyote ndani ya nchi. Hivi kwanini msianzishe maandamano kuhusu hali mbaya ya uchumi kama vile...
Ni jambo la kawaida kwa jamii ya kizazi hiki kumzomea kiongozi anayetoa hoja ambazo hazina mshiko na kujaa pumba kwao.
Hivi karibuni kiongozi, na mshika bango la elimu aliipata homa ya...
Kuna zawadi za valentine unazoweza kuwapa wanafuzi walimu au mtu yeyote yule. Zina mafundisho na ni znuri sana
Download hizi video then ziburn kwenye DVD then wape zawadi. uwapendao.
1The...
Chuo Kikuu kipya kuiinua Tabora
Imeandikwa na Lucas Raphael, Tabora; Tarehe: 9th February 2011 @ 23:59
JANUARI 16 mwaka huu ni siku ya kukumbukwa katika mkoa wa Tabora, kutokana na mkoa huo...
Bunge kuelezwa sababu za matokeo mabaya 'form 4'
Imeandikwa na Oscar Mbuza, Dodoma; Tarehe: 10th February 2011 @ 08:40
BAADA ya kushitushwa na matokeo mabaya ya kidato cha nne yaliyotangazwa na...
hivi hii migomo siku hizi hadi shule za sekondari, na nahisi hadi za msingi zitafuata, maana yake serikali imechoka kusikiriza wananchi wake au haki haipatikani mpaka kugoma? Mbona zamani haikuwa...
Wanafunzi wahoji uhalali tume Bodi ya Mikopo
Na Tumaini Makene
WAKATI baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wakihoji utaratibu uliotumika kuwapata wajumbe wa tume ya kuipitia Bodi ya Mikopo...
....ni hivi juzi tu tulishuhudia maandamano makubwa ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam campus ya Mlimani,,,wakidai ongezeko la fedha za matumizi ya kila
siku kufikia shilingi 10,000/=...
vyuo vingi vinafanya mitihani ya ue mwezi huu, kati kati au mwishoni. nachukua nafasi hii kuwatakia mitihani mema wanafunzi wa vyuo vikuu wote "mana mitihani ikikaribia cthan kama wataingia hata...
Hey elites there is new site 4 u,which is special 4 discussion of different issues.the site is special 4 all universities and college students of tanzania.you can open this site on ur mobile 4n or...
Pongezi ziwaendee wanamapinduzi na wanaharakati wote wa UDSM, kwa kazi nzuri mliyoifanya jana. Nnaamini siku zote haki hailetwi ulipo bali unaifwata huko huko iliko, mifano hai ni harakati za...
Sifuri hizi wenyewe ni JK, Lowassa
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 02 February 2011
Tuseme Ukweli
VIONGOZI wakuu wa nchi wamefikia mahali sasa hawaambiliki. Ushauri wa kitaalam...
CHAMA cha Wahandisi Washauri Tanzania (ACET), kimesema kuwa idadi ya wanawake wahandisi Tanzania ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine kwani mpaka sasa wahandisi waliopo ni wanne. Akizungumza...
Je, kamati za shule za Msingi na Bodi za shule za Sekondari zinajuwa wajibu wake katika usmamizi wa Taaluma na matumizi ya fedha za Ruzuku {MMEM na MMES} zitolewazo na serkali?