Wanafunzi UDSM kupewa chakula cha msaada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi UDSM kupewa chakula cha msaada.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mabogini, Feb 11, 2011.

 1. m

  mabogini Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawasilisha
   
 2. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Chakula cha msaada? Yaani haki yao inakua msaada tena? Yaani wewe kujengewa barabara na serikali ni msaada? Mbona nimesikia wanapewa coupon za msosi. Ni utaratibu zamani ulikuwepo pia vyuoni................. Au ndo msaada huo Mkuu?
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  nafikiri tatizo lao si chakula bali ni hela! College wanayogoma asilimia kubwa ni wale ambao wanapewa mkopo wa ada kwa % hivyo wengi wao hawana mkopo wa asilimia mia moja. Kwa hiyo vyuo wanapodai ada wanafunzi wanachofanya ni kuchukua sehemu ya hela ya chakula na kulipa ada hivyo wanakuwa hawana hela ya kutosha ya chakula. Tangazo la chuo linasema kuwa wanakopeshwa na hela hizo watalazimika kuzirudisha semester ijayo hivyo hata wakati ujao tatizo litajirudia. Mbona madai ya hela ya kujikimu hayakuwa miongoni mwa madai ya Inginiazi?
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :clap2: kweli kabisa, wengi wao wanachukua pesa za msosi na kupeleka kwenye tuition fees.
   
Loading...