Migomo mashuleni inatupeleka wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo mashuleni inatupeleka wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ybest, Feb 10, 2011.

 1. y

  ybest Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hivi hii migomo siku hizi hadi shule za sekondari, na nahisi hadi za msingi zitafuata, maana yake serikali imechoka kusikiriza wananchi wake au haki haipatikani mpaka kugoma? Mbona zamani haikuwa mingi hivi, maana nowadays kila kukicha migomo i wonder where we are going.
   
Loading...