Ephraim kibonde kapotoka katika kunena!!!!!

Click_and_go

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
451
5
....ni hivi juzi tu tulishuhudia maandamano makubwa ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam campus ya Mlimani,,,wakidai ongezeko la fedha za matumizi ya kila
siku kufikia shilingi 10,000/=, madai ambayo hata uongozi
wa chuoni hapo pamoja na serikali wamekiri kuwa ni ya msingi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha!

...Cha ajabu aliibuka mvivu mmoja wa kufikiri, mtangazaji wa clouds fm, station ambayo napenda sana kuisikiliza,
ndugu KIBONDE na kuanza kujitafutia umaaruku kupitia maandamano hayo!!! Akaanza kuropoka ya kwamba madai
ya wanafunzi hao hayana msingi wowote!

...sijui alidhani ya kwamba serikali itatoa jibu kama la kwake na labda angepandishwa cheo,,,au sijui aliogopa wanafunzi hao wangemzidi mshahara???@#$?

....najiuliza sipati jibu ila kimsingi napenda kumjulisha huyu mvivu wa kufikiri ya kwamba uandishi wa habari na utangazaji sio kujua kuongea tu,,,kuna maadili ya vyombo vya habari! hata kama elimu ni ya kuunga unga,,,ni bora kufikiri kwanza kabla ya kutoa taarifa kama hizo!!!!

HUYU KIJANA ANAJITAFUTIA UMAARUFU VISIVYO,,,VIKIRI KABLA YA KUTENDA!!!!!!
 
huna haja ya kuanzisha trhead nyingine kuna thread kumi na sita za kibonde na nyingi zinafanana... he sucks yes but dont spread thin
 
....ni hivi juzi tu tulishuhudia maandamano makubwa ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam campus ya Mlimani,,,wakidai ongezeko la fedha za matumizi ya kila
siku kufikia shilingi 10,000/=, madai ambayo hata uongozi
wa chuoni hapo pamoja na serikali wamekiri kuwa ni ya msingi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha!

...Cha ajabu aliibuka mvivu mmoja wa kufikiri, mtangazaji wa clouds fm, station ambayo napenda sana kuisikiliza,
ndugu KIBONDE na kuanza kujitafutia umaaruku kupitia maandamano hayo!!! Akaanza kuropoka ya kwamba madai
ya wanafunzi hao hayana msingi wowote!

...sijui alidhani ya kwamba serikali itatoa jibu kama la kwake na labda angepandishwa cheo,,,au sijui aliogopa wanafunzi hao wangemzidi mshahara???@#$?

....najiuliza sipati jibu ila kimsingi napenda kumjulisha huyu mvivu wa kufikiri ya kwamba uandishi wa habari na utangazaji sio kujua kuongea tu,,,kuna maadili ya vyombo vya habari! hata kama elimu ni ya kuunga unga,,,ni bora kufikiri kwanza kabla ya kutoa taarifa kama hizo!!!!

HUYU KIJANA ANAJITAFUTIA UMAARUFU VISIVYO,,,VIKIRI KABLA YA KUTENDA!!!!!!

Pole, we bado unasililiza Clouds, sababu ya huyu kibonde na kipindi chake cha Jahazi hasa wakati wa kampeni za uchaguzi mimi niliacha kusiliza kabisa!!!!!!!!!!, sijui uongozi wa Clouds unategemea nini, wakati radio ya vijana lakini unamuweka mtu mwenye mawazo yanayopingana na matakwa ya vijana akitoa situ maoni yake, bali analazimisha kuonekana ni maoni ya radio nzima.
 
kibonde hajaanza leo kuongea utumbo na sio tu kwa swala la udsm alkuwa anamponda sana sugu wkt ule akidai hatashinda. Tatizo lake ni elimu ndogo na hiyo ndogo aliyanayo ni ya kuunga unga, hana maadili ya uandishi wa habari coz sometym anaogea uncensored words i wonder kusaga anawatoa wapi hawa morons na machoko ka wale xxl akili zao ziko huko wanakokakia
 
Akarekebishe kwanza 'dental formula' yake ndiyo tutamsikiliza! Mnao-tune Clouds FM ndio mnaompatia umaarufu.
 
Dahh, umenikumbusha zogo lililotokea juzi nimekodi tax, kuingia ndani dereva katune Clouds Fm. Kwa ujumla alinikumbusha mbali kwani tangu kampen zilipoanza tu nifunga kusikiliza redio hii sabab ya huyuhuyu kibaraka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Good die young, kinyume chake? Sorryyyyyyyyyyy!
 
Mnao msiliza ndio mnampa umaarufu; Wengine huwa hatuna muda wakusikiliza Radio kama CLOUDS. Afadhali nisikilize radio ya Chama ninachokichukia "Uhuru" au TBC Taifa kuliko hao jamaa zenu
 
Nadhan ni vizur kumsikiliza na ili kuengage naye objectively. Ukwel ni kwamba inawezekana media policy ya hawa jamaa imechange na hawatak kudeclare interest. Kama sio hvyo bas ni dhahir clouds imepata blow kubwa kwa kukubal kutumia kumentain status quo. shame on you clouds
 
Hivi huyu kibonde ndio nani.... nilianza kumsika toka issue ya dowans sasa na kwenye madai ya msingi yupo!!! Lakini hicho ndio kipimo cha elimu yake there is no way kwamba mtu mwenye elimu yake ambayo sio ya kuunga anaweza kutoa maoni ya kipuuzi kama yale au anatumwaaaa??????
 
nani alisema kibonde ni mwandishi wa habari?............ huyu ni MC maarufu tu.
 
kibonde hajaanza leo kuongea utumbo na sio tu kwa swala la udsm alkuwa anamponda sana sugu wkt ule akidai hatashinda. Tatizo lake ni elimu ndogo na hiyo ndogo aliyanayo ni ya kuunga unga, hana maadili ya uandishi wa habari coz sometym anaogea uncensored words i wonder kusaga anawatoa wapi hawa morons na machoko ka wale xxl akili zao ziko huko wanakokakia

jamani clouds ni ya ruge,,,na ruge ni ccm,,sasa cha kushangaza nini?...... Redio clouds ni redio uhuru remix...

Haahaaa! If we have energy to waste, lets go to Kisarawe to open up new plots for KILIMO KWANZA. We need to spend our energy wisely, dudes
 
Huyu kibonde angekuwa amepitia chuo angeleewa maana ya haya madai, lakini kwa kuwa elimu yake haieleweki msameheni, Nitaanza kusikiliza clouds siku nikisikia Kibonde kaondoka.
 
Ud anapajua kweli huyo au amesoma ustawi wa jamii wanaposoma wa kuunga unga, sidhani kama hata amemaliza f4 na wale dada zetu wenye dv za kurudia rudia
 
....ni hivi juzi tu tulishuhudia maandamano makubwa ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam campus ya Mlimani,,,wakidai ongezeko la fedha za matumizi ya kila
siku kufikia shilingi 10,000/=, madai ambayo hata uongozi
wa chuoni hapo pamoja na serikali wamekiri kuwa ni ya msingi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha!

...Cha ajabu aliibuka mvivu mmoja wa kufikiri, mtangazaji wa clouds fm, station ambayo napenda sana kuisikiliza,
ndugu KIBONDE na kuanza kujitafutia umaaruku kupitia maandamano hayo!!! Akaanza kuropoka ya kwamba madai
ya wanafunzi hao hayana msingi wowote!

...sijui alidhani ya kwamba serikali itatoa jibu kama la kwake na labda angepandishwa cheo,,,au sijui aliogopa wanafunzi hao wangemzidi mshahara???@#$?

....najiuliza sipati jibu ila kimsingi napenda kumjulisha huyu mvivu wa kufikiri ya kwamba uandishi wa habari na utangazaji sio kujua kuongea tu,,,kuna maadili ya vyombo vya habari! hata kama elimu ni ya kuunga unga,,,ni bora kufikiri kwanza kabla ya kutoa taarifa kama hizo!!!!

HUYU KIJANA ANAJITAFUTIA UMAARUFU VISIVYO,,,VIKIRI KABLA YA KUTENDA!!!!!!

tumewachoka na habar zenu au mumetumwa nn? Kila saa kibonde, hakuna issue nyingine za kujadili.
 
Jamani.. Mtu mwenyewe anaitwa 'kibonde'!!!! Bora hata angeitwa 'bonde' maana lingekuwa kubwa angalau.... It's no wonder mambo yake ni kama 'vibonde' wengine katika nchi hii....
 
Back
Top Bottom