Wanafunzi Elimu ya Juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi Elimu ya Juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MndemeF, Feb 12, 2011.

 1. M

  MndemeF Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado nipo na nyie wanafunzi wa elimu ya juu. Kumbukeni ya kuwa ninyi ndio chachu ya mabadiliko yoyote ndani ya nchi. Hivi kwanini msianzishe maandamano kuhusu hali mbaya ya uchumi kama vile kupanda kwa bei ya vyakula, maji, umeme na mambo mengine mengi tu ambayo yanamgusa kila mtanzania. Mkianzisha hayo basi tupo tayari kuwaunga mkono. Lakini eti kwa masilahi yenu tu, huo ni ubinafsi. Hivi unafikiri bibi yako kule kijijini nani atamtetea? Jifunzeni kwa wenzenu wa nchi nyingine bwana.

  Nipo na nyie tu mpaka mtakapokuwa kweli wa "Elimu ya Juu".
   
 2. nkyandwale

  nkyandwale Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Sawa bwana mtoa hoja, kuwa jamii ya wanafunzi ni chachu ya mabadiliko, lakini wananichefuwa wanavyovaa kwa kuiga watu wa ughaibuni pasi kuchuja yaifaayo jamii yao. Je, maajuza na wakombe wataandamana lini!
   
Loading...