Boom! Boom., mbona muhimbili kimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boom! Boom., mbona muhimbili kimya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mupirocin, Feb 8, 2011.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nawapongeza sana udsm kwa kuwa source ya mabadiliko, ila nashangaa kwanini vyuo vingie vipo kimya? Muhi2, kcmc, bugando, saut, tumaini inamaana ninyi hela inatosha? Au rice cooker zinawadanganya. Amkeni serikali ipo shaked mkishirikiana hata zile % za bodi ya mikopo zitafutwa. Muhi2 acheni woga piganien haki.
   
 2. mwanaharakati m

  mwanaharakati m Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UDSM ni mfano, fuateni mfano huo.....BOOM lenu halitapanda kwa maafikiano,ila SHINIKIZO........
   
 3. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kuna uwezekano hivyo vyuo wanapata pesa zaidi ya wenzao, haiinii akilini kwa wenzao kugoma na kusema pesa hazitoshi wakti wenyewe wakiwa kimya tu, you never know they might have somthing more than others
  :first:
   
 4. comson

  comson JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamani wanaJF kama cc huku SAUT tunaguswa sana na hilo jambo sema administration wanadai mkataba na bodi ni mwanafunzi na HESLB so tunashindwa kujoin na wenzetu kwa kukosa support kwa wahadhiri wetu.... We unaweza kugoma huku lecture znaendelea....
   
 5. f

  furahi JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Watafwata 2. Kwani hujasikia yaliyompata Kawambwa Mkwawa? Akiwahutubia wanafunzi wa Mkwawa aliwaprovoke alipowambia nyie si kama UDSM wanaogoma hovyo. Kumbe katumbua jipu lililoiva, wanachuo wamecharuka na wanamtaka aombe msamaha coz maneno yake yanatafsiri kwamba wao (Mkwawa University College of Education) hawana dhiki ndo maana hawagomi. Vurugu tupu
   
 6. b

  bakarikazinja Senior Member

  #6
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli mimi sina mchango navyo jua maisha ya ud ni yatabu sana hasa sisi watoto wa mkulima kuna kipindi tulikuwa tuna piga deshi kabisa kipindi tuna kula mkate ndio tuna lalia
   
 7. b

  bakarikazinja Senior Member

  #7
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani hii mada inanikuta sana kwani ndio ina changia hata vijana kuto kusoma kwa raha pale chuo maana yupo darasani anajiuliza akitoka atakula nini
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wengi wa wanafunzi wa muhimbili ni watoto wa 'vigogo' hawaishiwi saana.
  Unategemea mtoto wa kikwete,lowassa,mahiza,msola,magembe,komba,maboko na maprofesa mbalimbali wanaweza kushiriki kwenye migomo ya kuganga njaa?
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hii ni crap

  ina maana hao vigogo uliowataja hapo wamezaa watoto ishirini kila mmoja??

  tuwe tunafikiria kabla ya kusema bana
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hii yako ndio crap zaidi.
  mkuu kwa asilimia kubwa wanaosoma muhimbili ni watoto wa class hiyo hapo juu(watoto wa viongozi na maprof).
   
Loading...