Valentine day kielimu elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Valentine day kielimu elimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mtazamaji, Feb 11, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna zawadi za valentine unazoweza kuwapa wanafuzi walimu au mtu yeyote yule. Zina mafundisho na ni znuri sana

  Download hizi video then ziburn kwenye DVD then wape zawadi. uwapendao.

  1The Planet- BBC Documentary - The Planets (download torrent) - TPB Its provide very good knowledge about the solar system. Suitable kwa wanafunzi na watu wanapenda kujua na kupata knowledge ya Geography na Astronomy


  2. Human Planet
  Ziko nyingi sana series hizi zinaeleza maisha ya viumbe na watu sehemu mbali mbali za dunia . Suitable kwa watu wa aina zote

  a. Life in the artics Human.Planet.S01E03.HDTV.XviD-BARGE (download torrent) - TPB

  b. Life in the rainforests Human.Planet.S01E04.HDTV.XviD-BARGE (download torrent) - TPB

  c. Life in the deserts Human.Planet.S01E02.HDTV.XviD-FTP (download torrent) - TPB  3. Physics
  Zawadi hii ni nzuri kwa wanafunzi na walimu wa Physics O level
  The Pirate Bay - The world's most resilient bittorrent site


  Hiyo video ina topic zaidi ya 24 zikiwemo
  01.Velocity.and.Acceleration.In.One.Dimension.
  02.Equations.of.Motion.In.One.Dimension.
  03.Scalars.and.Vectors1
  04.Projectile.Motion
  05.Newtons.Laws.of.Motion.
  06.Newtons.Laws.of.Motion.With.Friction.avi
  07.Work.
  08.Kinetic.Energy.and.the.Work.Energy.Theorem.
  09.Potential.Energy.and.Energy.Conservation.
  10.Power.
  11.Momentum.

  4.
  Maths Kwa zawadi ya wanafuzni na walimu wanamahesabu nadhnia kuanzia form III nakuendelea.Hii video inaongea Topi mbili tu Probability na Statistcics.
  Math Tutor DVD - Probability and Statistics (download torrent) - TPB


  5. Cartoon – Managascar escpe Kwa watoto na wakubwa wanaopenda cartooon
  Madagascar-Escape.2.Africa[2008]DvDrip-aXXo (download torrent) - TPB  Je kuna video ya somo au topic yeyote ungependa kupata lakini hujui wapi uipate.
  Uliza nitakutaftua link ya kupakua.

  Tuwazoeshe wanafunzi kunangalia video za kichunguzi na mafunzo na documentary badala ya tamthilia. muda mwingi.

  Thats my valentine gift
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nimemaliza kudowload hiyoya hesabu Very nice Teacher. Hope ningejua jinsi kuapta video kama hizi enzi hizo. basi japo ningepataga ka C ka hesabu O level.

  Yes. Nilikuwa najua sana kutazama na kurudia movie za kina rambo, chuknorris lakini sikujua kunaweza kuwa na movie kama hizi.

  Tusaidiane kuwaelemisha wahusika( walimu, wanafunzi, wazazi) na kuwafahamisha wengine juu ya fursa za ICT zinazoweza kufukia mashimo ya mapungufu ya elimu yetu

  Kuna maswali ya chemsha bongo hope nimeyakuta huko na mwalimu anayafanya ukiona.

  Maths ( permutations)

  1. Four people run in a marathon. In how many ways can first and second place finish?

  2. How many 4-digit odd numbers greater than 3,000 can be formed using the digits 0-9 if digits may be repeated?
   
Loading...