Wale wa Lutengano High School 1993 - 1998

BadoNipo

Senior Member
Jul 4, 2008
170
28
Wale waliosoma lutengano High school mpo? siwasikii kabisa. hebu tujikumbushe kidogo jamani. Mnakumbuka ile milima ya kuelekea ushirika??????
 
Du jamani nimefurahi sana kupata kusikia mtu kutoka lutengano mimi nimesoma hapo kuanzia 1996 - 1999 kina makeba mpo??/ naitwa Thecla from Sinza dar es salaam.now nimeolewa na nina mtoto mmoja wakiume call kelvin.
 
Kulikuwa na jamaa anacheza sana mpira anaitwa elihuruma mpayo baba yake alikuwa mchungaji wa moravian usharika wa lutengano.
Kwao kulikuwa na kisuzuki
 
Duu umenikumbusha mbali sana kipindi cha kina Shadrank Nsajigwa, jamaa alikua anapiga boli lakini si kivile sana, Kulikua na jamaa 1 anaitwa culture. Safari za ushirika na Tukuyu kwa ajili ya shopping, Ndizi sukari na mapalachichi. Dona kwa maharage ilikua poa sana.
 
Back
Top Bottom