Mimi nimepangiwa chuo cha UDOM koz ya nursing ila mkopo hawajanipa na home hawawezi nilipia na vigezo vya mkopo ninavyo nifanyeje,nimekaa home since 2009 kw issue kama hiz?
Mimi ni kijana niliyekosa MKOPO mwaka huu.but CHUO Nimepata ARDHI(B of arts in economics)TATIZO KUBWA NI FEDHA.naombeni MSAADA WENU nifanyaje ili nipate SPONSOR yeyote atakae nisaidie ili...
Jamani wana JF, nauliza kama mtu akawa ameandika education materials, mfano kitabu cha mathematics for secondary schools. Procedure zikoje ili kiweze kuwa published at the moment one does not have...
Wadau naombeni mawazo yenu kuhusiana na hii course ya Actuarial science. Ni course iliyoanza kufundishwa mwaka jana hapo Udsm, na je, soko lake la ajira liko vipi?
Jamani kama inavyofahamika kwamba waalimu wakiume wa sekondari huwa wanauhusiano wa kimapenzi na wanafunzi wao!,UNAFIKIRI NINI USHAURI WAKO KWA WALIMU HAWA NA WALE WATARAJIWA? Maana mi mwenyewe...
kutengeneza tovuti (websites) siyo jambo gumu tena. ikiwa unahitaji kutengeneza tovuti yako binafsi au kuwatengenezea wengine usiwe na presha tena. utahitaji mwezi mmoja tu wa kujifunza nami...
Tafadhali naomba mwenye kujua anisaidie hivi walimu wapya ‘III A' wamekwisha pangiwa vituo vya ajira?Naona kwenye website ya wizara ya elimu hakuna
nitashukuru
Hakika wengi 2lichangia na kufurahia kauli mbiu ya kufanya ELIMU KUWA UWEZO NA SI CHETI,sasa kwanini wengi mnalaumu waliopata dvs3 kupata mkopo na wale wa divs 1 kukosa,TUTAFuTE NJIA YA KUTATUA...
Wanajf mnakumbuka mwaka jana walimu wenye stashahada walichelewa kuajiliwa mpaka 24 jan.mwaka huu.Kutokana na hali inayojionesha kwa sasa kwa wale wa tcu na mikopo, nahisi mambo ya ajira kwa...
Jamani hii bodi ya mikopo inafanya vitu ambavyo havieleweki, tumetoka bodi ya mikopo wametujibu vibaya sana, nitawajuza zaidi watakavyotujibu huku wizarani.
Mimi ni tha one nilie kosa MKOPO mwaka huu.but wazaz wameamua kunilipia but wanauwezo wakulipa ADA only.mambo mengine amesema hawawez.je kip mhimu ambacho inatakiwa nikalipe ili...
It is despicable! We are back to square one. During Nyerere's time our politicians belittled the value of education. We changed phrases from "Kufaulu" to "Kuchaguliwa" to try to belittle...
Ndugu wan JF,
Natafuta kitabu cha Hekaya za Abunuwasi; yeyote aliyenacho naomba anijuzu ili nifanye malipo yake. Au kwa msaada unaweza kutia hapa JF kwa pdf.
Natanguliza shukrani za dhati
Mim naona wanafunzi waliokosa mkopo hawajatendewa haki kwan pesa wanazopewa wanafunz watarudisha mbona mabilion mengine yanapotea bure kwa kumnufaisha mtu mmoja au wawil tu,je tanzania...