unataka kujifunza kutengeneza tovuti/website yako au kuwatengenezea wengine?

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
988
kutengeneza tovuti (websites) siyo jambo gumu tena. ikiwa unahitaji kutengeneza tovuti yako binafsi au kuwatengenezea wengine usiwe na presha tena. utahitaji mwezi mmoja tu wa kujifunza nami. Hauhitaji kujuwa lolote kuhusu html, css, dreamweaver au term nyingine yeyote. Ikiwa unaweza kuwasha na kuzima kompyuta na kufungua email yako, basi hautashindwa kutengeneza tovuti yako nami ndani ya mwezi mmoja. ipo programme itakayokuwezesha kuwa mtengeneza tovuti kwa muda mfupi kabisa, ukiwa na programme hiyo ambayo ipo atomatic zaidi utakuwa na uwezo wa kutengeneza tovuti zaidi ya bilioni moja kwa kutumia account moja utakayojisajili nayo!!. usichelewe muda ni sasa. nipigie: 0769142586, fadhili.
 
Back
Top Bottom