Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wapya wamekwisha pangiwa vituo vya ajira?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mathias Byabato, Sep 2, 2011.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 861
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tafadhali naomba mwenye kujua anisaidie hivi walimu wapya ‘III A' wamekwisha pangiwa vituo vya ajira?Naona kwenye website ya wizara ya elimu hakuna

  nitashukuru
   
 2. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  bado kijana mi mwenyewe nasubiri
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,729
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Bado!!!vuta subiraaa
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,769
  Likes Received: 1,540
  Trophy Points: 280
  Kama kwenye website moe hayapo, usiwe na shaka. Bado hawaja release.
   
 5. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,546
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Bado kijana nadhani watatoa pamoja na wale waliomaliza vyuo.
   
Loading...