jamani naomba mnisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani naomba mnisaidie

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mbalamula, Sep 6, 2011.

 1. mbalamula

  mbalamula Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi nimepangiwa chuo cha UDOM koz ya nursing ila mkopo hawajanipa na home hawawezi nilipia na vigezo vya mkopo ninavyo nifanyeje,nimekaa home since 2009 kw issue kama hiz?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  dah!pole sana mkuu,waibukie hao bodi huko huko dsm.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ukiona hakieleweki bodi, muibukie minister ofisini kwake.
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Nenda diploma Education. Nadhani bado hawajaripoti. Kwakuwa wewe ni sayans utakuwa dili sana mtaani, utapata mademu wakal wakali wote.
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huh..................hbu nkanywe maji glasi moja af nirudi kumshauri kijana
   
Loading...