wanafunzi waliochaguliwa na tcu 2011/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanafunzi waliochaguliwa na tcu 2011/2012

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by musa simba, Aug 20, 2011.

 1. m

  musa simba New Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba mnisaidie hiyo orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo coz sijaiona kwenye tovuti ya tcu!
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,336
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  Tuliza ball kijana,jaribu kuwa unasikiliza kwa makini!Orodha ya wanafunzi haijatolewa,kilichotolewa ni "statistics"tu.
  Orodha unayoitaka ww
  itatoka baada ya wiki 2!
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Orodha hiyo yawezekana ikatoka baada ya vyuo kufunguliwa.
   
 4. p

  podius Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado bado tulia kidogo mambo ndo yanapakuliwa yako mezani maji ya kunawa ndo yanaletwa .ok?
   
 5. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  mimi nimeangalia mkopo nimepewa UDSM BAA nimeangalia ktk vyuo vingine nivyoomba jina langu halipo lipo UDSM tu. So najua hapo ndipo nilipopangwa. Tuangalie ktk web ya mikopo tcu watachelewesha.
   
 6. G

  Gugo New Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman mbona m sielewi orodha imetoka au bado?
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  we uko ulimwengu gani mkuu?
   
Loading...