Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Sakata lililotikisa sekta ya elimu mkoani kagera mwanzoni mwa mwaka huu limechukua sura nyingine baada ya wafanyakazi 9 kufukuzwa shule. Watu hao wanatuhumiwa kwa ufisadi na kuficha madhambi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba kwa yeyote anaweza nisaidia kupata hii nondo inaitwa "Global outsourcing" by gervais and barrar 2006. Nipo huku kwetu Tz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je? Unahitaji shule yako kufahamika kitaifa na kimataifa. Tembelea schoolbook, inayo jibu. ni rahisi kutumia na bure kabisa. Tembelea Schoolbook Classic | Homepage
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ndio takwimu iliyopo. Wanafunzi 23,340 sawa na asilimia 70 ya watakaojiunga na vyuo vikuu nchini kwa mwaka wa masomo wa 2011/12 watapata mikopo kutoka Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Kuna best wangu amepangwa chuo cha Tumaini Iringa na TCU.. Ila yupo maeneo ambayo yapo mbali na huduma za kijamii, ningependa anayejua tarehe ya kufungua ni ipi naomba aniambie ili niweze...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Angalia chanel 10,wanahojiwa,
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana,my young sister kachaguliwa coz inaitwa bachelor in economics and finance kwenye chuo IAA,nimejaribu kuulzia kwa wa2 wanasema hyo coz hapa tanzania ni mpya.kuna yeyote anae weza niambia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna tetesi nimezipata jana hapa mkoani Iringa kutoka kwa wadau wa jirani kabisa wa chuo kikuu cha Ruaha kilichopo mkoani Iringa ambacho ni branch ya SAUT. Inasemekana kua katika mwaka ujao wa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Am abt to go crazy, jaman nsaidieni, is there a way ya kuappeal niweze pata mkopo, coz sjapata and i got the priorities
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ngugu wanajamii forum naomba kuuliza kama kunamtu amechaguliwa muhimbili kusomea doctor of medicine na cbg, nauliza kwasababu niliomba kama first choice hawaja nichagua bali wamenipangia nursing...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
plz naomba kufahamu,ili mtu awe lecturer ktk university/any other educational institution; 1.first degree yake anatakiwa awe na GPA gani? 2.masters awe na GPA gan? -accoding to TCU criteria...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf, ningependa kujua kutoka kwa mtu yeyote ambaye ni mfanyakaz wa heslb , ni vigezo vp walivyovi2mia kutoa mikopo, coz naona wadogo zetu wengi wa science especially udaktari, na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habari zenyu? Mimi ni miongoni mwa wale applicants wa 2nd round,nimejaribu kucheki kwenye orodha A na B za matokeo waliyotoa bila kuliona jina langu na si mimi tu kwani kuna washkaji...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ajira za kitaa zinasumbua ndugu zanguni !!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama umekosa mkopo halafu umepangwa kati ya hvi vyuo IFM,IAA au TIA,nadhani vle vyuo wanafunz wake huwa wanadhaminiwa na wizara ya fedha na uchumi,so ka umepangwa hapo,jaribu kuwasiliana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani kuna mgogoro wa uongozi na wakufunzi wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama,mgogoro ulianza siku nyingi mpaka pro Rwegoshora akaondolewa,sasa nauliza wahusika mgogoro huu utaisha lini...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Vijana kwanza nawapongeza kupata udahiri pamoja na mkopo licha ya changamoto zilizopo. Msiopata mkopo poleni sana ila msikate tamaa, mkaripoti kigumu ivyo ivyo kwakuwa kuna nafasi za kukata...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimepangwa bachelor of science with eduction n sitaki kuja kufundisha nipeni maujanja hapo....mi naona niunge masters
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Jjamani hawa TCU wameweka amount of loan, bila mchanganuo, naomba mnisaidie zile pesa walizoweka ni ada pekeyake? au ni pamoja na michango mingine? nawasilisha, nisaidieni
0 Reactions
98 Replies
8K Views
Jamn nina kka yangu anataka kumtoa mtto ktk shule ya baraa sec ya hapa arusha anataka kumpeleka longido sec je kwa mnaoifahamu je inafundsha? Naomben msaada 2nataka elimu bora.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom