Wanafunzi waliokosa mkopo ina maana pesa hazipo? Mnakubali hivi hivi tuu... Wadau mnaonaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi waliokosa mkopo ina maana pesa hazipo? Mnakubali hivi hivi tuu... Wadau mnaonaje?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by JUAK, Sep 3, 2011.

1. J

JUAK Member

#1
Sep 3, 2011
Joined: Aug 26, 2011
Messages: 13
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mim naona wanafunzi waliokosa mkopo hawajatendewa haki kwan pesa wanazopewa wanafunz watarudisha mbona mabilion mengine yanapotea bure kwa kumnufaisha mtu mmoja au wawil tu,je tanzania itendelea bila wasomi wa elimu ya juu,serikali haini kuwa ni suala muhimu?

2. The Son of Man

The Son of Man JF-Expert Member

#2
Sep 3, 2011
Joined: Feb 9, 2010
Messages: 12,124
Likes Received: 1,709
Trophy Points: 280
Karibu jamvini na jisikie huru!

3. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#3
Sep 3, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,655
Likes Received: 35,416
Trophy Points: 280
Vigezo vya kupata hiyo mikopo ni vipi?

4. J

JUAK Member

#4
Sep 3, 2011
Joined: Aug 26, 2011
Messages: 13
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Thank you genekal

5. J

JUAK Member

#5
Sep 3, 2011
Joined: Aug 26, 2011
Messages: 13
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wanafunzi wote walioomba mikopo wote wana vigezo vya kupata huo mkopo kwa kuwa walipewa vigezo ndipo wakaomba so naona hawatendewi haki jaman , ni vigezo tatizo au pesa ndio hamna?

6. J

JUAK Member

#6
Sep 3, 2011
Joined: Aug 26, 2011
Messages: 13
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kilimo kwanza au elimu kwanza jaman hii nchi inaelekea wap? Vijana amken tuwe na uthubutu wa kuhoji mambo ya msingi ndugu zangu.

7. Njowepo

Njowepo JF-Expert Member

#7
Sep 3, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 9,296
Likes Received: 381
Trophy Points: 180
Sasa watu wamepelekwa kozi ambazo hawajaomba!

8. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#8
Sep 3, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45
Tukutaneni pale bod jumatatu, twenden na kufur za solex, wasipo tupa majibu yanayo eleweka wanalala ofisini, tuungane kutetea hak zetu.

9. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#9
Sep 4, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,377
Trophy Points: 280
Poa poa. :)

10. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#10
Sep 4, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280
Jamani tuache ushabiki. Je Tanzania ina uwezo wa kusomesha wanafunz wote wanaomba chuo. Bajet yetu tunategemea msaada. Sector zipo nyng, tuache ushabiki walaumu wazaz wako kwa kuchezea vibaya ujana wao.

11. N

NIMIMI Senior Member

#11
Sep 4, 2011
Joined: Apr 2, 2011
Messages: 170
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

kaka unafanya kazi Bodi ya mikopo ama? Kama sio mbona unawakosea nidhamu wazazi wetu kwa kashfa zako? Tanzania ishindwe kuwakopesha wadahiliwa 39elf tu, inakuja na kukaa akilini mwako kweli? Na si kwamba inawasomesha inawakopesha ili wazirudishe baada ya masomo na kuajiriwa. Inakuaje unaandika na kuandika Upupu upupu ikiwa ulikopeshwa kuwezesha masomo yako? Kwanin kwetu sisi sio wao? Tena acha hiyo kwa wazazi wetu kabisa ikiwa wengine wana machungu ya kupoteza mmoja ama wazazi wote na kukosa mkopo pia. Wewe uongee UpU PU UPUPU UPUPU UPUPU humu acha kabisa hiyo mambo tena koma sio wazazi wote waliajiriwa kama wa kwako pamoja na kusoma kwa mkopo waliolipishwa wazazi wetu kodi.

12. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#12
Sep 4, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

umeshasema mkopo. Mkopo si hiar ya mtu kukukopesha au la. Soma katiba ya Jamhuri Ya Muungano, uone kama kifungu kinagusia hiyo mambo. Acha kuwa ushabiki.

13. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#13
Sep 4, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

haki yako ip?. Soma katba ya Tanzania inataja ww kupewa mkopo.

14. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#14
Sep 4, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45

unaniuliza ama? Maana hata alama za uandishi hujui!

15. G

GUMADI Member

#15
Sep 4, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 32
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

inaonekana we ni fisadi naomba unyamaze kabisa
2015 hampati kura hata chembe

16. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#16
Sep 4, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45

si hiar kukopeshwa, ila kuna vigezo vinavyokufanya ukopeshwe, kama unavyo na hukupewa mkopo na asiyenavyo kapewa, hiyo katiba yko hairuhusu kudai haki yako? Dnt put your mouth in a motion before your brain isnt in a gear.

17. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#17
Sep 4, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45

mimi baba yangu na mama yangu wamefariki , eenh ebu niambie nimlaaumu nan? Mwenyez mungu aliewarudisha mavumbini?

18. only83

only83 JF-Expert Member

#18
Sep 4, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 5,252
Likes Received: 445
Trophy Points: 180
........................Hiyo ndiyo Bodi ya mikopo mkuu,tunapowaambia tuandamane tuwang'oe CCM hamtaki,JK alipokutana na wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma wakati wa kuchukua fomu ya kugombea uchaguzi alisema sasa mikopo itapatikana kwa wakati na kwa vigezo vyepesi....Ona sasa kinachotokea....

19. N

NIMIMI Senior Member

#19
Sep 4, 2011
Joined: Apr 2, 2011
Messages: 170
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

sikulaumu sana kwa mawazo mgando yako. Sema bahati nzuri sijafahamu umri wako. Ningefahamu ningeweza kukupa tathimini yako kwa kiasi kikubwa wewe unatumia MASABURI kufikiri ndio maana hufahamu kwamba ulisoma kwa kodi za watanzania ambao ni wazazi wetu ukaona ni haki yako kupewa huo mkopo kwa katiba ile ile ambayo haijabadilishwa hadi sasa, na kwetu si haki yetu kupewa mkopo ama kweli wewe ni mtoto wa Lubumbala unamsaidia kujibu hoja kwa kashfa tena ni vyema umrudie Mungu wako ukimwambia Nimewakosea wazazi wa watoto wa wakulima usamehewe kwa upupu wako.

20. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#20
Sep 4, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,967
Trophy Points: 280

tatizo watanzania hatupendi kuambiwa ukweli. Serikali ipo sahihi. Bord ya mikopo wana policy zao. Wanapanga kwa mwaka watumie kias flan, so wana bajet kutokana na bajet waliopanga. Na huwa idadi ya wanafunzi wana vary. Au unafikiri wao hawana bajeti?.,

Loading...