Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

kuna zengwe hapa kati ya uongozi na wanafunzi wa BA Kiswahili kuhusu suala la field. mkurugenzi, dk.mutembei amekuja na kutaka kuhamisha mada kuu. akaanza kulaumu wanafunzi kwa kuwasha mafeni na...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
The Chinese Government Scholarship Scheme awards scholarships in China for international students to study and pursue a Bachelor's, Master's, or Doctoral Degree at Universities in China. Click...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau, natafuta chuo nitakachoweza kusoma koz hyo hapo juu...post graduate. Msaada wenu wa chuo kizuri zaidi kwa koz hyo. Nimemaliza chuo mwaka jana koz ni bachelor degree in masscommunication.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Walimu zaidi ya wanne walimshambulia kijana wa kiume katika shule ya sekondari ya st Anne kwa madai kua wana mhisi ameweka pedi darasani...jambo hilo lilileta ugomvi mpaka kupelekea shule kufungwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1.An estate agent buys a certain type of properties.If the cost price of 24 properties is equal to the selling price of 16 properties,what is the percentage of profit or loss that the estate agent...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii, leo asubuhi startv Africa katika kipindi chao cha Tuongee asubuhi walikuwa wanajadili sera mpya ya elimu. Pamoja na mambo mengine washiriki walisema sera hii inaelekeza kuwa elimu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi matokeo ya kidto cha nne hutoka mwez wa 1 kwenye tareh ngapi.itakuwa vizur kama mtanikumbusha na ya mwaka jana yalitoka kwenye tareh ngapi.(request)
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari za jumapili.. nisidieni kuhusu hii kozi Bsc.Biotechnology and Laboratory Science ya SUA. Nilikutana na rafiki yangu anasoma hiyo kozi pale SUA ameingia mwaka wa tatu sasa ila anachosikitika...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hello wanajamii, naomba kujua kama kuna mwanajamii anayefahamu vyuo ambavyo vina karo ya kawaida nchini India na Malaysia vinavyotoa degree ya course ya computer science. Thanks in advance.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Guys i found this on the net and i think it is important to share with you.. Organize your Inbox: 7 ways to order and sort your email
0 Reactions
0 Replies
1K Views
napenda kujua wanafani au walio sikia kuhusu fani hii pamoja na ajira yake hapa nchi.... Je ni sawa na fani nyingine ktk suala la ajira nchi IT,Accountant.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
-Ni baada ya kubandika majina mengine ya watu 22 ambao kesho wanatakiwa kwenda kuchukua barua za kurudi nyumbani,ukiachia mbali wale 12 waliopewa barua lastly week na hali kesi zao mahakamani...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
habari zenu wakulu! Natakakusoma CPA ila sijui qualification zao nimejaribu kuingia kwenye web yao ila link ya qualification haifunguki ila inaleta error.Hivyo basi kwa mwenye ufahamu juu ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanachuo anayesoma Bachelor of Arts with Education,mojor subject ni Computer science.kuna usawa hapo?HIKI NI CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wadau mimi ninaelimu ya form four na nilifanyikiwa kupata elimu ya chuo katika fani ya karani wa fedha(basic certificate of accountancy) nilisoma kozi hiyo kutoka na mazingira tu niliyokuwepo...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Natafuta mtaalamu au mwalimu wa masuala ya jinsia "gender" aliye bobea
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kuadhimisha miaka hamsini (50) ya Uhuru wa Tanzania Bara, Umoja wa Wanafunzi Walimu (UDSTA) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika la HakiElimu wameandaa kongamano kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This article appeared in the Guardian on November 20th Which way Mathematics? By Guardian on sunday correspondent 20th November 2011 About 30 years...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu nilikuwa naomba kujua ASSOCIATED DEG​REE ni degree ya aina gani (weight yake)
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau wa elimu natumaini mko sawa. Mwenzenu niko ktk field ya elimu. Najaribu kujiendeleza kwa njia ya masafa. Nasoma M. Ed (Adm, Planning & policy Studies- open university) Material ya 'education...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom