habari za jumapili..
nisidieni kuhusu hii kozi Bsc.Biotechnology and Laboratory Science ya SUA.
Nilikutana na rafiki yangu anasoma hiyo kozi pale SUA ameingia mwaka wa tatu sasa ila anachosikitika ni kwamba wakati wa field ilikuwa ngumu kwake kwa sababu sehemu nyingi alipokwenda walimwambia hawaitambui hiyo kozi.
Mwishoni akaja kupata muhimbili tena kwa mbinde na masimango daily kazini.
Mimi nikawa sina cha kuzungumza kwa sababu nilikuwa sielewi chochote..
Mwenye kufaham chochote kuhusu hii koz naomba atusaidie.ni kwamba haitambuliki kweli au?