Ushauri juu ya masomo architecture na ajira yake Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri juu ya masomo architecture na ajira yake Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hau, Nov 19, 2011.

 1. H

  Hau Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  napenda kujua wanafani au walio sikia kuhusu fani hii pamoja na ajira yake hapa nchi.... Je ni sawa na fani nyingine ktk suala la ajira nchi IT,Accountant.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  We kasome tu mkuu.
   
 3. j

  jerecamp Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu, this is what is called mother professional. Kama umepata nafasi hiyo fanya kwa juhudi na hutojutia i promise.
   
 4. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  i am an architect, and it is a very good profession, bt as u know, kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake, depends on how u weigh it,,,but 4 real, it is a very good profession, which unaweza kujiajiri kirahisi sana,kuanzia hata ukiwa chuo mwaka wa pili lets say, coz ndugu zako wataanza kukufuata uwachoree ramani ndogo ndogo, n u start making clients mpaka ukifika ukubwani, success will b ryt through ur hands, bt shida nyingne ni kwamba its a long course at school, 5 yearz sio mchezo,, datz it broo,,, kuhusu ajira, kila mahali ni pagumu siku hizi,,, u just hav to struggle n pray, bt i think architecture ina faida coz ata kama hujaajiriwa,u can still kutafuta dili zako ndogo ndogo ukawa unapata pesa ya kusukuma maisha hapa mjini, na dili zipo sikufichi,,,ajira zenyewe mishahara sio kiviiile, datz y most of us end up kujiajiri na kufungua our own architectural firms,, thats all mdogo wangu,,,its u to weigh now, coz nimekwambia ukweli wa kila kitu both positives and negatives
   
 5. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  umemshauri vizuri sana,safi sana mkuu.
   
 6. FM stereo

  FM stereo JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Umemweleza yote mkuu. Kilichobaki ni yeye tu sasa.
   
 7. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Nimeupenda ushauri wako, natamani kila mtu awe anashauri kwa kuangalia pande zote... kazi kwako uliyeuliza kufanya uamuzi sahihi
   
 8. v

  valid statement JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Bahati ilioje amepata ushauri kutoka kwa archtecture kabisa.
   
 9. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  asante mkuu,,, thanxx alot
   
 10. H

  Hau Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante sana.... Nimeupenda shauri wako architecter naomba pia unipe zaidi ndugu
   
 11. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tungepata watu wanaoshauri vijana hivyo,vijana wetu wangekuwa mbali sana kimaendeleo!Huu ndio uchawi wa wazungu!Belivdat
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Ni "Architect" (soma: 'akitekti' na sio 'achitekti'). Sorry for being so critical on this ,seemingly, a very minor issue:poa!
   
Loading...