Sera ya elimu Tanzania 2010

thereitis

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
297
41
Ndugu wanajamii, leo asubuhi startv Africa katika kipindi chao cha Tuongee asubuhi walikuwa wanajadili sera mpya ya elimu. Pamoja na mambo mengine washiriki walisema sera hii inaelekeza kuwa elimu ya msingi itakuwa miaka sita na umri wa kuanza darasa la kwanza utakuwa miaka 6. Nafikiri ni muhimu tuijadili sera hii.

Maombi yangu: wenye access na soft copy ya rasimu ya sera hii waiweke hapa ili tuijadili
 
Back
Top Bottom