Msaada jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tata mvoni, Nov 20, 2011.

 1. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  habari zenu wakulu! Natakakusoma CPA ila sijui qualification zao nimejaribu kuingia kwenye web yao ila link ya qualification haifunguki ila inaleta error.Hivyo basi kwa mwenye ufahamu juu ya:
  1)Sifa za kufanya mitihani ya CPA
  2)Ada ya kujiunga
  3)Ada ya kufanya mtihani
  4)Sehemu zinapofanyika Review classes
  5)Kwa mtu asiyekuwa na Diploma au degree ya accountancy ataanzia module ipi?
  6)Pia na ushauri kama upo.
  Natanguliza shukrani
   
 2. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,749
  Likes Received: 1,782
  Trophy Points: 280
  elimu yako ni ipi............kuanzia level gani
   
 3. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33


  kidato cha sita mkuu ila niko interested sana na hiyo kitu,pia na marks zangu ni nzuri tu
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  piga chuo kwanza,then ndo ufanye hyo mitihani!
   
 5. FM stereo

  FM stereo JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Mwenzako kasikia ukiwa na cpa unakula mshahara mzito we unamkatisha tamaa.
   
 6. v

  valid statement JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  ndio unasoma au umemaliza kidato cha sita?
   
 7. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nimemaliza kidato cha sita
   
Loading...