Mtaalamu wa "gender" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaalamu wa "gender"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mlimbwende, Nov 20, 2011.

 1. m

  mlimbwende Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Natafuta mtaalamu au mwalimu wa masuala ya jinsia "gender" aliye bobea
   
 2. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,985
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Unamtafuta! kapotea au unamaanisha nn, andika vema ili wataalamu wa jinsi(sex) na jinsia(gender) wachangie
   
 3. m

  mlimbwende Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Namaanisha nahitaji mtaalamu au mwalimu wa masuala ya jinsia "gender".
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Sa c ukatoe taarifa CIA wakusave kumtafuta!
   
 5. m

  mlimbwende Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Acheni ushamba kwani msilete mzaa! CIA so what?
   
 6. l

  len Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  unamuhitaji kwa ajili ya consultancy au kitu gani. Yuko mmoja namfahamu ana masters ya gender analysis economics
   
 7. m

  mlimbwende Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Yes kwa ajili ya consultancy ila awe tayari kuzunguka vijiji vya Tanzania. Ajue kiswahili kizuri na kiingereza.
   
 8. l

  len Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ni pm number yako halafu nitakuunganisha naye
   
Loading...