Sakata la pedi kukutwa darasani st. Anne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la pedi kukutwa darasani st. Anne

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by muwasho, Nov 24, 2011.

 1. muwasho

  muwasho Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walimu zaidi ya wanne walimshambulia kijana wa kiume katika shule ya sekondari ya st Anne kwa madai kua wana mhisi ameweka pedi darasani...jambo hilo lilileta ugomvi mpaka kupelekea shule kufungwa na hatma yake haijulikani......mamlaka husika nafikri mnaisoma hii hebu rekebisheni mambo ili watoto warudi shule
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hao walimu ni mapimbi! nafikiri st.Anne bado wanatabia ya kuokoteza walimu wasio na sifa, sababu ya ubahili wao, maana haingii akilini walimu waeledi kushindwa kutatua tatizo dogo kama hilo mpaka kupelekea shule kufungwa
   
 3. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ah!Si bora wangekuta used condom ndio wangefanya iwe ishu,walimu vimeo hao.Belivdat!
   
Loading...