Kwanza tusahihishane ktk jina inaitwa Associate Degree na sio Associated Degree
Degree hii inatolewa ktk mfumo wa US baada ya kukamilisha miaka 2 ktk junior universities na Colleges.
Roughly tunaweza kusema ni kama Foundation degree kwa mfumo wa UK BTEC
Hong Kong introduced associate degrees, as an equivalence to higher diplomas
Kwa mfumo wa Australia hii ni sawa na Advanced Diploma.
Kifupi suala hili linatakiwa liwekwe wazi na HEAC Tanzania.
Vinginevyo tutachukua definition za kila nchi mwishowe ni kuchanganyikiwa tu
nakushukulu kwa kunijuza mkuu maana nilikuwa napata shida mimi ni mmoja wa waathirika wa elimu yetu ya kbongo ya dezine ya kata sasa katika kuparanganya nilisoma chuo kimoja katika level ya diploma kule us nimefanya vizuri wamenishawishi kusoma associate degree ulivyorekebisha jina uko sawa kabisa kupitia kwako sasa naanza rasmi kusoma hiyo degree je itanitoa mkuu? (mlango wa gunia,narubongo,c programing)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.