TATAKI hali si shwari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TATAKI hali si shwari.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mphamvu, Nov 2, 2011.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kuna zengwe hapa kati ya uongozi na wanafunzi wa BA Kiswahili kuhusu suala la field. mkurugenzi, dk.mutembei amekuja na kutaka kuhamisha mada kuu. akaanza kulaumu wanafunzi kwa kuwasha mafeni na ac kwenye chumba no. 204. alipobanwa akadai hana nafasi mpaka saa 10. ndo twamsubiri hapa!
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Prof. mutembei ameingia hapa, naona anaanza kuattack personality za viongozi badala ya hoja iliyopo mezani!
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mkurugenzi mshiriki dk. chiduo analeta ubabe usio na msingi. anafoka bila sababu hapa!
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hata hueleweki yaani.
   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Jipange upya. Kaa tulia, leta hoja. Umeandika kwa haraka na bila kujipanga.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Tulia mama mdogo, usichoelewa hapo ni nini?
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yaani unatupa lecture yako ya BA kiswahili, sio? how interesting...
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we mngese kweli.
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  jamaa kilaza kweli we unaongea ukifikiri sote tunaijua b.a kiswahili yako.ebu andika vizuri huko,acha kukurupuka.
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  kwani hujaelewa nini rr? mbona pdidy huwa mnamuelewa jameni?
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  mantakhofu alhabiby, marijali huwa hawasemi bwana? vipi, uko tayari kunipa?
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Dah, haya bwana. maybe next time! ila kwa sasa pokea kilichopo....
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  zengwe la jana limetokeza mgomo! wanafunzi wa iks wamekusanyika hapa utawala, wanashinikiza kuonana na uongozi wa juu wa chuo!
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,056
  Trophy Points: 280
  BA ya KISWAHILI Oyeeeeeeeeeeee, BA Zote za SAYANSI ziiiiiiiiiiiiiiiiii. Mainjinia wote ziiiiiiiiiiiiiiii
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mkuu buji? ahsante kwa concern yako! unajua ishu hapa ni field, sasa director wa iks anatuambia kabisa ati mwaka wa pili hakuna field, na mwaka wa kwanza haikuwepo. unafikiri ni aina gani ya degree tutakuwa nayo after graduation?
   
 16. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hivi B.A Kiswahili field mnafanyia wapi vile?
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  BAKIZA, BAKITA, TAKILUKI, TATAKI na news room za media zote nchini.
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  uongozi wa chuo umetoa order kwa mkurugenzi wa tataki. aandae mchakato wa field na ofisi yake itauharakisha! angalau ni habari njema kwetu wanafunzi... tumewapa muda!
   
 19. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wanafunzi wa TATAKI inaonekana wamekurupuka bila kufuata hatua stahiki. Nilishangaa yule dada mfupi mweusi kiaina alivyokua anapiga kelele na kuahamsisha wenzie wapige kelele lakini baadae ndiyo wa kwanza kuyeyuka. Tuongee ukweli hapa na tujadili uhalisia wanajamii, hivi vita yote hiyo ni ya kutaka uwadani (Practicle training) au kutaka pesa za uwadani? Kimsingi tuko kipesa zaidi na siyo kielimu. Tutambue kuwa package ya course mpaka ipitishwe na seneti lazima iwe inakidhi mahitaji ya mwanafunzi na ndiyo maana wenzetu wa sheria wanaenda field baada ya kumaliza chuo (law school). Uhauri wangu ni kuwa wanatataki tusihangaike sana kubishana na wenye makali kwa staili ya kutumia nguvu maana mwishoni wataona nia yenu ni pesa na siyo elimu hivyo wanaweza kupeleka pendekezo kuwa asiyeweza kusoma hii kozi bila kwenda uwadani aache chuo au kuifuta moja kwa moja. Tukumbuke na tujiulize UDOM ilikuaje na sasa wako wapi? Yatupasa kutumia akili na maarifa zaidi. Viongozi waandike mswada (concept) utakaoanisha dhumuni halisi na umuhimu wa uwadani wakianzia na mawazo wa nafunzi wote, walimu wao ndio iende ngazi kwa ngazi hadi ifike kwa mwenyekiti wa seneti la sivyo tutaandikia mate wakati wino tunao.
   
 20. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nilijifunza ukiwa mwanafunzi kupata div 0 au 1 ni kazi sana, hivyo hivyo JF kupata ban ni kazi kweli, sasa naona wewe unajitahidi kuisogelea hiyo ban. Endelea PAW atakapitia ka ID kwa wiki mbili hivi naona itakusaidia kurudisha heshima.
   
Loading...