Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kuanzishwa kwa UDOm kila mtu alifurahi lakina kwa sasa wapo watu manasema...why?..ukitaka kufahamu tabu ya kuanzishwa udom waulize wakaazi wa jaribu na chuo. Watoto wasio na baba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mwana jamii alitoa masikitiko yake kuhusu shule ya Mwenge ilioko singida mjini kuwa ni choka mbaya ni kweli.Nawakumbusha wana jf mkwese nilikosoma mwishoni mwa 80 mkwese tec sec school...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi tajiri barani Afrika. Lakini kutokana na mfumo na sera mbaya ya uongozi, siasa na matumizi mabaya ya rasilimali ndicho kinachopelekea watu walio masikini kuendelea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumeshuhudia maazimisho ya miaka 50 ya uhuru serikali ikijigamba kuwa imeleta maendeleo ktk elimu kitu ambacho sio kweli,ukizungukia shule zake zote zimechakaa hazina marekebisho achilia mbali...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Upepo wa mabadiliko wenye harufu ya kisiasa umevigubika vyuo vikuu karibu vyote Tanzania. Kila inapotokea fursa ya uchaguzi wagombea wa nafasi mbalimbali hasa wanao bainika kuwa ni wanachama wa...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu heshima mbele ,mimi ni mwalimu wa grade A naomba directioni jinsi ya kuingia serikalini au kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia hapo wizarani ani pm,thank you in advance
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau niaje mabest zangu. Naamini jukwaa letu lina wasomi wengi. Kuna swali linanisumbua kama kuna majibu with reference nitafurahi sana! Swali lenyewe hili; Eleza jinsi ugunduzi wa televisheni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I have seen so many posts where few members tried to convice the readers that their schools/Universities are better than of the others. On this post i would like to ask you guys... What role...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
John Dewey, american philosopher aliwahi sema hivi,..Believe is a scientific hypotheses, action is experiment to prove your believe is tru or unrealistic......kwahyo ukiona una wazo zuri lakini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndiyo wakuu ! Hatimae mchakato wa uchaguzi wa serikali ya wanachuo ktk chuo kikuu cha St. Augustine -Mwanza umekwisha jana. Matokeo ni kuwa mgombea Antony Nestory (Jibaba) alipata kura 1,075 na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tembeleen account zenu,mgodi ushatema.over
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa leo ndo siku ya mwisho ya boom kuwepo mifukoni mwa wanachuo wa udsm, hakuna hata chembe ya tetesi ya siku boom la pili litakapo toka. Hii inamaanisha kuanzia kesho jumatatu wanachuo washinde...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanasiasa na wanaojiita wanazuoni wa kiswahili msitudanganye hata kidogo juu ya hadhi ya kiswahili.kiswahili ni lugha ndigi sana na ambayo kwa namna yoyote ile huwezi kuilinganisha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau sijafika levo ya chuo,ila nimekua nikisia mara undergraduate mara postgradute lakini sielewi ipi ni tofauti ya hayo maneno.Mwenye kujua naomba anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
hii wadau,,naulizia ni wapi naweza pata au wanapoouza computer video tutorial on the following subjects 1.oracle 10g and 11g trainining dvd 2.ccna training video 3.micosoft exchange server 2003...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna hizi college km learnit na FTC, wanasema kuwa wanatoa vyeti kutoka uingereza, yani they are accredited, cheti cha masomo ya business ni ABE Association of Business Executives, course yake ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu JF Hi My background is from sociology BA,naombeni ushauri wenu,nahitaji kujua ipi bora kati ya MA in Rural development from sua, na MA Development Management from Udsm,Katika labour...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndiyo wakuu ! Nimekuwa nikisisimka na kusikia baridi pale serikali inapo piga marufuku siasa vyuoni. Je kwa ushahidi huu nikisema nyani haoni kundule ntakuwa nimekosea? Mwaka juzi rais wa chuo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu JF Hi My background is from sociology BA,naombeni ushauri wenu,nahitaji kujua ipi bora kati ya MA in Rural development from sua, na MA Development Management from Udsm,Katika labour...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafunzi wa Shule ya msingi Korotambe wilayani tarime wanauziwa penseli ya shilingi 300 kwa shilingi 1000, mwenye biashara hiyo ni mwl elizabeth joseph, huwa anawafunua watoto wa kike kama hawana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom