Matokeo ya uchaguzi saut -mwanza jana ni mwangwi wa m4c.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu ! Hatimae mchakato wa uchaguzi wa serikali ya wanachuo ktk chuo kikuu cha St. Augustine -Mwanza umekwisha jana. Matokeo ni kuwa mgombea Antony Nestory (Jibaba) alipata kura 1,075 na Godlisten Malisa (Dogojanja) alipata kura 2,424. Uchaguzi huo ulitawaliwa na itikadi za vyama kama ilivyo kawaida ya vyuo vikuu. Kwa kifupi uchaguzi ulikuwa kati ya Magambazi Versus Cdm. Naomba kuwasilisha.
 
hehehe hatarii sa yule mbaba alidhan atashindaa na sera zake za uongo na ukweli halaf hivi ulimuona yule aliekamatwa kabeba kitambulisho cha mwanakme wakt yeye man walimbeba juujuu hadi alijuta.bt ndo ivo politics ni waziimu tuu
 
Ndiyo wakuu ! Hatimae mchakato wa uchaguzi wa serikali ya wanachuo ktk chuo kikuu cha St. Augustine -Mwanza umekwisha jana. Matokeo ni kuwa mgombea Antony Nestory (Jibaba) alipata kura 1,075 na Godlisten Malisa (Dogojanja) alipata kura 2,424. Uchaguzi huo ulitawaliwa na itikadi za vyama kama ilivyo kawaida ya vyuo vikuu. Kwa kifupi uchaguzi ulikuwa kati ya Magambazi Versus Cdm. Naomba kuwasilisha.

Vipi Mwenyekiti wa uchaguzi ndugu yangu Mlebo amesema nini?Kwani tulihabarishwa hapa kuwa kahongwa milioni moja ili avuruge uchaguzi kwa kumpendelea huyo Anthon.
 
Godlisten a.k.a raisi wa moshi namkubali tangu majengo sec moshi yani yeye ndiye aliyenifanya niipende chadema
 
wao wana pesa sisi tuna MUNGU PEOPLEZ.............NDUGU ZANGUNI WATU WABAYA SIO MAFISADI,WEZI,ILA NI WALE WENGI WASAFI WALIO AMUA KUKAA KIMYA NAKUFUMBIA MACHO DHULUMA,RUSHWA,UBAGUZI UNAOFANYWA NA WATU WACHACHE.
 
Back
Top Bottom