Serikali inasabisha walimu watie aibu.

Dec 11, 2010
3,321
6,328
Wanafunzi wa Shule ya msingi Korotambe wilayani tarime wanauziwa penseli ya shilingi 300 kwa shilingi 1000, mwenye biashara hiyo ni mwl elizabeth joseph, huwa anawafunua watoto wa kike kama hawana underskate na kuwalazimisha kuwauzia underskate kwa shilingi 2500 - 3000.

Wanafunzi wasio na underskate hurudishwa nyumbani mpaka wanapopata fedha ya kununua underskate au penseli.

Chanzo: ITV HABARI.
 
Tatizo ni mshahara wa mwalimu hautoshi kujikimu!!Je afanyeje?Pesa zilizokwapuliwa na mawaziri zingewafaa sana mateacher kwa kweli!!
 
Sasa sikia atakapo kamatwa na kupelekwa mahakamani na kisha hiyo hukumu yake,utafurahi! Wakati wapo waliokwiba mabilioni wanatanua au kuachiwa pasipo kuguswa
 
Bt mpaka uchanguzi uliopita kuna walimu hao hao wenye maisha magumu ndio hao hao waliopigia kura CCM, tubadilike ndugu walimu! Ni wakati wa mwalimu kuthaminiwa. Ok
 
Aisee nawashangaa sana walimu, wangejua influence waliyonayo, hakika hii Serikali ingewathamini sana , lkn wamezubaaaa
 
Back
Top Bottom