naombeni Advice jamani plz! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni Advice jamani plz!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by chilubi, Mar 26, 2012.

 1. c

  chilubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Kuna hizi college km learnit na FTC, wanasema kuwa wanatoa vyeti kutoka uingereza, yani they are accredited, cheti cha masomo ya business ni ABE Association of Business Executives, course yake ni 6 months, yani certfct ni 6 months, diploma ni six months, diploma 2 pia 6 months na advance diploma ni 6 months!!! Wakati ktk vyuo vyetu diploma ni mwaka mzima, yani unasoma mpaka unazeeka chuoni! So hizi college na vyeti vyao kutoka nje vinatambulika na kukubalika? Maana college zimesajiliwa na Nacte,,,

  Jengine, hivi naweza kupata transfer ya chuo kimoja kwenda chuo chengine? Kwa mfano saiv nipo Dip 1 IFM nataka Dip 2 nende nkamalizie kwengine, inawezekana? Na kama inawezekana naomba ushauri wenu!
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  UK kuna board nyingi za elimu ya juu mfano tz kuna veta, nacte, tcu na ndio uk ndio vile vile, hao learnit hawapo kwenye board ile ya vyuo maarufu vya uk na na hiyo board inatambulika kwa baadhi ya nchi (total ni kama nchi 20 tu duniani!)
  utakuwa na restrictions kujiunga na baadhi ya vyuo in case ukitaka kujiendeleza zaidi labda urudi kusoma ulipoipata hiyo degree yako
   
 3. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  kijana maaliza diploma yako hapo ifm.....then ukishamaliza.....kasome pale advance diploma.....na kile chuo kipo nondo sana elimu ya pale ipo fulll....nondo
   
 4. c

  chilubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,049
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Naru amenitisha, kwamba iyo board iko restricted from some countries,,, itakua issue baadae, employmnt hapa tz kwa vyeti ivo inakuaje?

  @C nlikua na mawazo hayo, advance diploma niende nkasome FTC (financial training center) nipate icho cheti cha ABE, mana safari ndefu i hv lyk 5 yrs mpk nipate bachelor!! So km vyeti vya ABE vinakubalika na masomo ni mda mfupi tena ya nn kuendelea pale IFM kuumiza kichwa?!!
  To be honest niko confuse a little, naona km nimepoteza mda, because Zanzibar university wanatia diploma ya 1.5 yrs km una D tano after dat unaingia degree, vut apa IFM unapoteza mwaka 1 for cheti, then miaka 2 ya diploma kisha ndo degree!!! Na hao FTC na wenzake, wao wanapiga miezi 6 tu kila level!!
   
 5. T

  Twonyi Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MWANDUGU YEE CHUO KILICHOSAJILIWA AU KUPATA ITHIBATI HAKIRUHUSIWI KUENDESHA PROGRAMME ZA NJE BILA KUPEWA KIBALI NA NACTE BAADA YA KURIDHIA UBORA WA HIYO PROGRAMME HUKO INAKOTOKA NA UWEZO WA CHUO KUIENDESHA.

  USHAURI WANGU NI KWA MSOMAJI KUTOJIUNGA NA PROGRAMME AMBAYO HAJAJUA KAMA IMERUHUSIWA KUENDESHWA AU LA. KUNA TABIA YA VYUO KUANZISHA UTITIRI WA PROGRAMMES BAADA YA KUSAJILIWA NA KUPIMWA KUWA KINA SIFA YA KUENDESHA PROGRAMME FULANI. CHUO KUSAJILIWA WALA KUPATIWA ITHIBATI SI HOJA ILA JE NI PROGRAMME IPI IMEPATA ITHIBATI NA IMEPATA BLESSINGS ZA NACTE KUIENDESHA?

  MFUMO WA CBET UNARUHUSU MWANAFUNZI KUHAMIA CHUO AU KUSOMA CHUO ZAIDI YA KIMOJA KWA WAKATI MMOJA NDIYO FLEXIBILITY YA MODULARISATION BUT THAT NEEDS A LOT OF SIMILARITIES IN THE WAY DELIVERY OF PROGRAMMES IS ARRANGED ACROSS INSTITUTIONS. KUHAMIA CHUO KINGINE MWAKA MWINGINE SAME PROGRAMME INATEGEMEA NA KUFANANA KWA MITAALA, ENTRY AND CREDITS REQUIREMENTS, COVERAGE IN THE PREVIOUS SEMESTERS, MODE OF DELIVERY OF THE PROGRAMME, KUPOKELEWA NA HICHO CHUO ETC. ETC. SO ONE HAS TO DO A THOROUGH ANALYSIS AND WEIGH THE LOSS AND GAINS BEFORE DECIDING TO SHIFT. KWA UFAFANUZI ZAIDI TEMBELEA OFISI ZA NACTE ZILIZOPO MIKOCHENI B ENEO LA VIWANDA KILIPO CHUO CHA KODI AU BOFYA www.nacte.go.tz
   
Loading...