Tusidanganyane kuhusu hadhi na nafasi ya kiswahili katiak dunia ya utandawazi

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Wanasiasa na wanaojiita wanazuoni wa kiswahili msitudanganye hata kidogo juu ya hadhi ya kiswahili.kiswahili ni lugha ndigi sana na ambayo kwa namna yoyote ile huwezi kuilinganisha na kiingereza.mimi ni mwanafunzi wa udsm nikipita kwenye udara ya kiswahili ambayo ni kiini cha taaluma ya kiswahili kwa wenyeji na wageni bango lao wameliandik kwa kiingereza kisha wakalitafsiri kwa kiswahili.institute of kiswahili studies kisha taasisi ya taaluma za kiswahili.
Nionavyo;hata wataalamu wa kiswahili wamemezw kwa kujua au bila kujua na lugha ya kiingereza,hawakiamini kiswahili wala kukithamini zaidi tuu naona wanakitumia kutatfuta makate wao na si vinginevyo.tujifunze kiingereza na kuacha kujidanganya tutabaki nyuma.naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom