Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,767
Ikiwa leo ndo siku ya mwisho ya boom kuwepo mifukoni mwa wanachuo wa udsm, hakuna hata chembe ya tetesi ya siku boom la pili litakapo toka. Hii inamaanisha kuanzia kesho jumatatu wanachuo washinde njaa kwa kipindi chote mpka pale serikali itakapoamua kutoa hilo boom.
kwa upande mwingine tofauti na zamani kipindi kama hiki harakati zinakua zimeshaanza kushinikiza kuwaishwa kwa boom lakini hadi hivi sasa hakuna kinachoendelea, chuo kiko kimya kila mtu akimtegemea mwenzake kulalamika huku daruso na uongozi mzima wa chuo ukiwa haujatoa hata tangazo la kucheleweshwa kwa boom..
je hii ni failure ya wanaharakati wa chuo cha taifa au ndo kusema hakuna wanaharakati wengine waliobaki tokea kufukuzwa kwa majembe 45 yaliyokua yakitetea haki zetu...