Mkwese,Ihanja na Iambi kwishinei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkwese,Ihanja na Iambi kwishinei

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Luushu, Apr 27, 2012.

 1. L

  Luushu JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 60
  Kuna mwana jamii alitoa masikitiko yake kuhusu shule ya Mwenge ilioko singida mjini kuwa ni choka mbaya ni kweli.Nawakumbusha wana jf mkwese nilikosoma mwishoni mwa 80 mkwese tec sec school ilikuwa moto kielimu kimichezo umiseta tulikuwa tukienda mwenge tunarudi na kombe kama si la mpira wa miguu basi la netbol palikuwa hapatoshi lakini sasa pameoza,wana jf nini tufanye hasa ukizingatia ufisadi umeota mizizi.NAOMBA MCHANGO WENU
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  hatuna cha kufanya. nitajie golikipa wenu mkwese akiitwa nani.
   
Loading...