Uchaguzi sautiso leo ni magambaz vs cdm saut,mwanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi sautiso leo ni magambaz vs cdm saut,mwanza.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by OMUSILANGA, Apr 25, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu ! Nimekuwa nikisisimka na kusikia baridi pale serikali inapo piga marufuku siasa vyuoni. Je kwa ushahidi huu nikisema nyani haoni kundule ntakuwa nimekosea? Mwaka juzi rais wa chuo alikuwa Ndgu Dotto, kada wa ccm kwa mgongo wa Masha.Last year akawa Mataba,kada wa ccm ambapo Waziri wa mikopo alikuwa katibu wa ccm tawi la SAUT,MWANZA. Mwaka huu bado watu walewale,mawazo yaleyale na chama kilekile wanaomba tena ridhaa. Bahati mbaya sana Vice President to be, Madam Alice alipigwa upofu akajiunga cdm na kuchukua kadi,akagombea BAWACHA akapigwa chini huku akiwa na kadi ya ccm ili kuepuka political tsunam ambayo ime cover almost over the country. Tuna taarifa kuwa pia alienda kwa mzee wa Futui kuomba pesa ya compaign . SLOGAN YA WATANZANIA WA LEO NI KUWA "PIGA STORY CUF,KULA CCM,LALA CDM". Kama hiyo haitoshi,mafanikio ya makada hawa wa ccm mojawapo ilikuwa kupiga picha na bwana mdgo Ritz ambazo zimebandikwa kwenye kuta za ofisi ya SAUTISO. Kama hiyo haitoshi,hawa majamaa walipageuza pale SAUTISO kama pango la wezi, mali ya mjane ambayo kila ndgu wa marehemu hudai ni yake. Michango yetu na ruzuku zetu zimekuwa zikitapanywa na kulikuwa kama mchwa. Ushauri wngu tukatae kuwa mitaji ya ndgu,jamaa na watoto wa mafisadi na tuseme NO, NO,NO ENOUGH IZ ENOUGH. Kama mtaji wa ccm umeyumba vijijini,iweje sisi watu wa mjini,wasomi,watafiti na wanafalsafa tuendelee kuwa mitaji yao? Godlisten una mtaji wa umma nyuma yako,acha wao watumie pesa but wata vuna aibu. Tuli anza na Mungu ,tutamaliza na Mungu . MUNGU BARIKI M4C, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 2. mujungu

  mujungu Senior Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Usomi sio kuwa chuo kikuu, Usomi ni kutumia elimu,ujuzi ,busara na kuheshimu utu wako kwa manufaa ya jamii husika. Wapo watu wamesoma na kuwa maprofessor lakini waulize wameifanyia nini jamii? Hata dreva wa daladala ana thamani. Kuuza utu kwa pesa ni afadhali ya changudoa anayeuza utu wake kwa manufaa yake binafsi.
   
 3. kiLimIlire

  kiLimIlire Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mh.Prof. Kahigi (CDM) aliyekuwa lecturer udsm na saut, hukaa kiti cha nyuma ya mbowe bungeni ni mfano wa wasomi ambao effectiveness yao kisiasani ndogo sana pamoja na kuwa msomi...Urais wa sautiso hutegemea sana na mtu anaekubalika na ofisi ya makamu mkuu wa chuo cha SAUT, vyama havina nguvu sana ktk hilo japo siasa ipo chuoni hapo.
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  saut huu ni muda muafaka kuwang'oa mafisadi,fanyeni kama kenya.
   
 5. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  someni jamani,achaneni na mambo ya siasa...
   
 6. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  watu wanasoma political science watafanyia wapi mazoezi? Acheni mawazo ya kitoto,huna utofauti na wanaosema daktari kazi yake ni kutibu tu hana haki ya kudai na kupigania maslahi yake!
   
 7. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  wana sautiso komaeni na hao watoto wa magamba mpaka kieleweke
   
 8. k

  kanganyoro Senior Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chagueni kiongozi makini
   
 9. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nani kashinda huko saut mtujuze sasa!!
   
 10. b

  blackwizard Senior Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha ujinga wewe u ADA na U BBA pamoja na U Malimbe mmemaliza usilete vyama kabla ya kumaliza hilo.MIMI PRESIDAA WA SAUT
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Yachomeni moto hadi yapukutie hayo magamba.
   
 12. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Magamba popote pale hawana lao wakati huu wa ukombozi.
   
Loading...