Serikali ifanye ukarabati katika shule zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ifanye ukarabati katika shule zake

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Darkeko, Apr 27, 2012.

 1. D

  Darkeko New Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeshuhudia maazimisho ya miaka 50 ya uhuru serikali ikijigamba kuwa imeleta maendeleo ktk elimu kitu ambacho sio kweli,ukizungukia shule zake zote zimechakaa hazina marekebisho achilia mbali zile za KATA njoo uangalie shule zile kongwe zile ambazo ilichukua kutoka kwa mkoloni,toka mkoloni mpaka leo ni vilevile mfano mzuri ni IHUNGO SEKONDARI iliyolo BUKOBA mjini,imesomewa na viongozi maarufu nchini,lakini njoo uone jengo la utawala utacheka,SERIKALI BORESHENI SHULE ZENU IGENI KATIKA SHULE ZA BINAFSI.
   
Loading...