Televisheni vs Fasihi andishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Televisheni vs Fasihi andishi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mfalme Daud, Apr 26, 2012.

 1. Mfalme Daud

  Mfalme Daud Senior Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 168
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Wadau niaje mabest zangu. Naamini jukwaa letu lina wasomi wengi. Kuna swali linanisumbua kama kuna majibu with reference nitafurahi sana! Swali lenyewe hili; Eleza jinsi ugunduzi wa televisheni ulivyoathiri fasihi andishi kwa kurejelea wataalam mbalimbali. Kama kuna mwenye majibu, nayasubiri ham mno. Jamani kozi weki hii!
   
 2. i

  isele Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Swali je ni television mpokeaji anaweza kurefer later?
  kwani andishi, atachukua kitabu atarefer.
  Sijui kiswahili kabisa ila ningeweza kuvisualize na kujibu.
  Tafakari.
   
Loading...