Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hili la Waziri Kassim Majaliwa na Mulugo kuwafukuza walimu wakuu wa Ilboru na namkukwe chunya mbona linatia shaka taratibu za utumishi?Mamlaka zinazo husika mbona zimefunga midomo?Siwatetei...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mi miongoni mwa waathirika wa heslb,kwa kutopata hata cent 1,lakin baada ya kuwaendea heslb ofisin kwao wamesema hivi: Kwa waombaji waliokosa mikopo yaani majina yao hayapo kwenye web ya...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimeguswa kuanzisha hii mada kwa sababu mbalimbali nilizoziona na kuzipima katika swala zima la kushuka kwa kiwango cha elimu katika nchi yetu ya Tanzania. Elimu kushuka inachangiwa na mambo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Check! Kwenye websites au click down to download! Eckernforde: http://www.eckernfordetangauniversity.ac.tz/ETU-BA-EDUCATION.pdf TEKU: http://www.teku.ac.tz/matangazo/selection%202012.pdf
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Wakuu hivi ukiwa na account kati ya Benki za NBC,NMB na CRDB ni ipi ambapo boom atleast huwa linawahi kuingia na kwa sababu zipi? Msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kwa wale mliopi arusha mnategemea kuripoti udsm pliz tupeane kampani 0655 804 328:nono: :nono:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
apa napata kauli tofaut tofaut kuhusu Computer science Udsm...sasa naomba utatuz wenu wana Jf 1. 1st yr pale wanakua na field? 2. Mtu anaesoma hii course atatakiwa pia asome mathematcs,physics au...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nataka anisaidie kucheki jina langu nimepangwa hostel gani,maana me niko mkoani na kuja huko ni hadi next week!kama yupo naomba nimPM jina langu anisaidie..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kitabu cha lazima kwa Walimu, Watunga sera , Waandishi wa vitabu, Wahariri na Wanaithibati. Lipi ni jina sahihi la chombo kinachosimamia maendeleo katika ngazi ya kata? Je, ni KAMATI YA MAENDELEO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty: Jamani samahani naomba tusaidiane jinsi ya kujua kama umepata accomodation mabibo au main campus.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimechaguliwa ktk chuo kimoja ila tatizo linaloniumiza ni kukosa mkopo ! Hivyo naombeni msaada wa jinsi ya kuappeal au njia nyngne ninayoweza kuitumia ili nipate mkopo kama wenzangu ! Thanx in advance
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni ndoto yangu kujenga shule maishani mwangu,wadau na wataalamu mbali mbali wenye ufahamu juu ya uanzishwaji wa shule naomba mnijuze nini kina hitajika il kuanzisha au kujenga shule. Ni kiasi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani wana jf mimi nimechaguliwa kusoma medicine udom kama eguivalent majina yalitoka juzi ambapo niliapply kupitia chuo lakini vile vile niliapply kupitia TCU nimechaguliwa kairuki na mkopo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimechaguliwa IFM-BBF mkopo nimepata 3764300/= ada ni 1500000/= kwa mwaka je? na % ngap na natakiwa kulipa kiasi gan ada?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nisaidieni nipate kujua, nilijiunga na netlog, mda mfupi tu nikapata marafiki kede kede wakike wakiomba tuwasiliane kwa Email walizo nipa kisha wakaanza kudai wao baba zao washa kufa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani mnisaidie apo...mi sielewi,,,,FPT na SFR virefu vyake nisaidieni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani,kwa anaejua hawa jamaa wanatoa lini majina ya applicants waliopata mikopo atujuze,maana wengine huku hatuamini kama hawa jamaa ni wakweli au ni matapeli wa mjini tu,so mpaka tuone watu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hie, wana mipango! Samahani jamani naomba msaada nataka kujua kuhusu upatkanaji wa hostel au vyumba vya kupanga pale chuo, MIPANGO' Na nlitaka kujua kama 1st year kuna field au na jins ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mm ndiye niliyeandika hii thread " kwa kupata loan naipigia CCM kura " watu waliwaka na mm wengine walinitukana na wenye busara walinielewesha kuwa loan ni haki yangu.....NAIFUTA kauli...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom