Anaejua jinsi ya kupata % anisaidie hapa jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaejua jinsi ya kupata % anisaidie hapa jamani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chiefmweusi, Sep 28, 2012.

 1. Chiefmweusi

  Chiefmweusi Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Nimechaguliwa IFM-BBF mkopo nimepata 3764300/= ada ni 1500000/= kwa mwaka je? na % ngap na natakiwa kulipa kiasi gan ada?
   
 2. vena

  vena JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shukuru mungu... mi sijapata hata senti! ila sijui tufanye vip!
   
 3. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  ucwe na wacwac utapewa mchanganuo wa hyo pesa, vuta subira ila hiyo hela imecontain, meals and acoomodation, books and stationery, tuition fees, na v2 vngne kama vitawepo kwny coz yako kama field na special fuculty requirements
   
Loading...