Netlog ninini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Netlog ninini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kiboko bin mkwaju, Sep 25, 2012.

 1. kiboko bin mkwaju

  kiboko bin mkwaju Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nisaidieni nipate kujua, nilijiunga na netlog, mda mfupi tu nikapata marafiki kede kede wakike wakiomba tuwasiliane kwa Email walizo nipa kisha wakaanza kudai wao baba zao washa kufa na nchi zao zina vita so wanataka mtu atakaye waoa na wanataka hamishia pesa zao kwenye accont yangu.ni mabilioni ya pesa. hii inakaaje, walio na ufahamu juu ya hili hebu nijuzeni.
   
 2. i

  iriko Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  helow frnd. Even da name Netlog sounds crazy.
  Ninaujua vizur, hawa wadada kwa uchunguz wangu abt 2yrs wale wadada ni kundi la wa2 fulan la wizi wa mtandao na zile picha ktk zile profile sio real inawezekana kabisa wale ni wanaume pia na wanawake. Mtanadao huu Netlog upo sawa kabisa na waplog.com wa Admin. Hawa wa2 wanaojiita majina ya wadada ukiangalie sketch ya email zao wanazoku2mia zinafanana sana. Pia kawaida huwa wanasema nh wa2 wa kutoka Sudan na wanaish ktk refugee camp in Senegal na wachache wanasema waliamua kwenda senegal kutokana na vita vilivyotokea humo nchini mwao civil war. Na wengine husema wao wazaz wao walikufa due 2 aeroplane crash. Sasa haya makundi yote haya wezi wa mtandao huwa wanasema baba yao alikuwa ni great leader au doctor(Dr.) fulani na hawa wazaz walikuwa na mamilion ya dola ktk akaunti hasa ktk nchi za ulaya. Kwa sababu of their refugees status hawataweza kuchukua zile hela hivo wanahtaji m2 ambae watamuamin na lazma act as foreigh partner then achukue zile na huyo 4reigner partner aziamishe zile hela ktk akaunt yake na mtaenda kuz2mia hizo hela asa wife&au akupe %fulan ya zile hela. Lakn b4 atakupa full contacts mfano namba yake ya simu ambayo utakuwa unawasiana nae baath ya shku ktk wiki. Atakupa no. Ya simu ya either Pastor au Rev. Atasema hawa ndiyo huyo ni kama baba kwangu na ndiye mwangaliz wa camp na ukimpigia simu tu mwambie unataka kuonögea na Miss...jina..nae ataniletea simu. Kumbuka huyu mwanaume anaeitwa PASTOR AU REV. ndiye mwenyewe alieku2mie emaik au ktk zile profike na kujiita miss fulani.
  SASA JINSI KUZPATA HELA YAKO( Namna watakavyo kukuchakachua)
  Huzu anaejiita miss..jina fulan then single never married b4 anakupa jina la akauti ya baba ake then anakuambia ameshawasiliaona na wa2 wa bank kunako akaunti za hela na anakupa pia email adress ya bank na email adress ya baathi ya bank officer kwa ajili ya transfer of money 2 ua acount. Unaambiwa na bank administration ili u2miwe hizo unatakiwa umtafute mwanasheri na lazma atoke Senegal utakuwa unamplipa amount of DOLLAR.
  NAMNA WATAKAVYOKUKOMBA HELA TENA.
  Pale ambapo watakuhakishia kuwa hela ipo tayar sasa unaatakiwa kulipa kiasi kingne cha dollar ili usafirishiwe cheki yako kwa ajil ya kuvuta mkwanja wako. Mpaka hapo utaliwa watakata mawasilian6 na ww. Be careful sana. Nimejarbu kuangalia nikakuta wa2 wengi wamelizwa tena mataifa ya ulaya.
   
 3. G

  GENERARY Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ili kuona kwamba hao ni matapeli mara ya mwisho kabla ya kutaka kukutumia hayo ma paundi watakutaka wewe uwatumie kwanza kiasi fulani cha dola, na ukishatuma hapo ndo umeliwa. be careful usicheze nao hata kidogo
   
 4. G

  GENERARY Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakikusumbua zaidi niombe nikupatie death certificate na bank statement ambazo nilisha wahi kutumiwa na hao wasela; but nilishtuka mapema.
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Achana na huo mtandao wa netlog,umejaa matapeli mkuu
   
 6. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Suuuuuuuummmmuuuuuuuu uuutakufaaaa
   
 7. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hao matapeli wamesambaa,netlog,waplog na mitandao kibao.Wengi watakuambia ni wasomalia,senegal,ivorycoast nk hao wezi achana nao.
   
 8. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 9. A

  Awadh Mabaraza Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha! Hao 2kana 2 mkuu.. Wana maneno matam afu matendo machungu.. Ni kund la matapel waliojazana Africa magharib sana sana Nigeria na Senegal.. Wapo kila sehem had FB na Twitter cyo Netlog peke yake na wanawashka ma cngle boy
   
 10. M

  Mpendawali Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Email yakwanza 2 anakuita honey!!!hahahahah nshachoka coz nmepata email ming xana toka kwa hawa w2!!!mmoja maarufu n sandra4love!!uyu kawaliza weng xana mchek hata google o fb
   
 11. kiboko bin mkwaju

  kiboko bin mkwaju Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du! wadau nashukuru sana mana nilishtuka mara nilipo ombwa kutuma kama dola 710, wakati mtu simfahamu naurafiki wenyewe umeanza from no where, nilijalibu kuwambia mimi ninamchumba but wanaendelea kuniita hny.
   
Loading...