Uanzishwaji wa shule. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uanzishwaji wa shule.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kiboko bin mkwaju, Sep 28, 2012.

 1. kiboko bin mkwaju

  kiboko bin mkwaju Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ndoto yangu kujenga shule maishani mwangu,wadau na wataalamu mbali mbali wenye ufahamu juu ya uanzishwaji wa shule naomba mnijuze nini kina hitajika il kuanzisha au kujenga shule. Ni kiasi gani cha pesa niwe nacho ili kuanzisha shule.
   
 2. TILALILA

  TILALILA Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We jamaa mbona huwi muwazi,shule zipo za aina nyingi, kindergaten primary au secondary,unalenga watu wa aina gani,kipato cha juu kati au juu
   
Loading...