Tatua hili... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatua hili...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by wakuvuma, Sep 27, 2012.

 1. w

  wakuvuma Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  apa napata kauli tofaut tofaut kuhusu Computer science Udsm...sasa naomba utatuz wenu wana Jf 1. 1st yr pale wanakua na field?
  2. Mtu anaesoma hii course atatakiwa pia asome mathematcs,physics au statistics? Na ka ndio je kuna ulazima wa kusoma ayo masomo?
   
 2. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  field sina hakika lakini kuna hii[FONT=&quot] Bachelor of Science in Computer Science[/FONT] na[FONT=&quot] Bachelor of Science with Computer Science kama umechaguliwa

  [/FONT] [FONT=&quot][/FONT][FONT=&quot] Bachelor of Science with Computer Science lazima usome na moja wapo kat ya [/FONT]mathematcs,physics au statistics,
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu CS accedentally nini mbona masomo core unayaulizia hivooo..
   
 4. w

  wakuvuma Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ujachek utaratbu mtu wa CS pale udsm ndo anasoma ivyo kaka check out! Utaamin
   
 5. w

  wakuvuma Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kaka! Nimekupata
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kama una ugonjwa wa maths hiyo course haikufai
   
 7. w

  wakuvuma Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimepga PGM mkuu usiogope!
  Lakin TCU hawajafanya hak yan Ifm PCB wamechaguliwa BScs kibao sa na iyo maths
   
 8. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Paulo usije kucheza na sisi una mikono michafu. Huku Hisabati tu.
   
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  unahitaji basic knowledge ya maths tu! by the way maths unayoifanya chuo ipo tofauti na ile ya secondary school, chuo unatakiwa kuapply maths in real world and most of all mtu mwenye advanced background ya biology anauwezo mkubwa sana wa kufanya vizuri kuliko wengine c'se computer was designed to replicate human brain.. na mbaya zaidi BSc CS ya tz is too general.. kwasasa duniani kuna zaidi ya degree 300 za CS with different specialization
   
Loading...