Kuhusu kuchaguliwa udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu kuchaguliwa udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by IDUKILO, Sep 26, 2012.

 1. I

  IDUKILO Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wana jf mimi nimechaguliwa kusoma medicine udom kama eguivalent majina yalitoka juzi ambapo niliapply kupitia chuo lakini vile vile niliapply kupitia TCU nimechaguliwa kairuki
  na mkopo umeenda kairuki na mimi sija report chuo chochote kati ya hivyo sasa kama nataka kwenda udom kuna uwezekano na mkopo kuhamia udom,naombeni msaada wa kimawazo.
   
 2. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini usiende kairuki, na ilikuwaje ukachaguliwa vyuo viwilg
   
 3. I

  IDUKILO Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nilichaguliwa kupitia kairuki tcu halafu juzi udom walitoa majina ya equivalent walio apply kupitia chuo jina langu lipo na mkopo umepelekwa kairuki niliko chaguliwa kuputia tcu.
   
 4. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kati ya kairuki na udom we unapenda wap?
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,829
  Trophy Points: 280
  The best way out ni kwenda mwenyewe TCU uombe wakubadilishe. Basi vinginevyo humu utababaishwa.
   
 6. S

  SUBUYAH Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hubert Kailuki memorial university ni chuo namba mbili kwa ubora nyuma ya udsm kwa miaka 4 mfululizo sasa na pia mwaka 2001 chenyewe na UDSM viliingia ktk orodha ya vyuo 100 bora Africa,,na NI chuo bora tanzania kwa upande wa medicine kikifuatiwa na Muhimbili.MWENYE UELEWA NA HILI ATANIUNGA MKONO.umaarufu wa chuo hauna tija wala usihangaike kwenda loan bodi nenda kapige ktabu kijana TZ is all waiting 4 u ​
   
 7. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nenda kairuki ukithubutu kutaka kuhamisha mkopo utapata tabu sana mkuu
   
 8. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  fuatilia tcu na heslb
   
Loading...