Msaada wenu kwa Wale Loan beneficiaries from HESLB

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
Wakuu hivi ukiwa na account kati ya Benki za NBC,NMB na CRDB ni ipi ambapo boom atleast huwa linawahi kuingia na kwa sababu zipi?

Msaada wenu tafadhali.
 
CRDB mzazi ndo inakuwa fasta kuliko nyngne wakubwa walioanza kupewa miaka ya nyuma ndo wameliona hlo na mm katka kuwaulza wamenambia ni hyo benk ndo ina aceess xana
 
nackia kuna benki inaitwa FNB...yaani siku iyo iyo kitu na box... mdogo wangu walim credit too early ela za field na wenzie zikaingia 2 weeks later
 
CRDD Mi naona because wao ndio walipewa dhamana yakuwa wasambazaji wa mikopo na HESLB baada ya kushinda hiyo tender.
 
CRDD Mi naona because wao ndio walipewa dhamana yakuwa wasambazaji wa mikopo na HESLB baada ya kushinda hiyo tender.

Mkuu unataka kuniambia ukiwasilisha nambari ya akaunti ya benki zingine hauwezi ingiziwa mkopo?
 
Wakuu hivi ukiwa na account kati ya Benki za NBC,NMB na CRDB ni ipi ambapo boom atleast huwa linawahi kuingia na kwa sababu zipi?

Msaada wenu tafadhali.

ni kwamba bodi ya mikopo yenyewe akaunt yao ipo uko...xo kuhamisha ela kwa akaunt za crdb ni rahc sana
 
Kwa kweli inategemeana na Banker wa Chuo ulichomo, Vyuo vyote sasa vinatakiwa kuwa na Loan Account ambayo mikopo yote ya wanafunzi itapitia uko, Kwa msingi huo wale wenye account zao na banker wa hiyo account ndio watakaopata hizo pesa haraka.
Hapo kabla Waliokuwa wakipata haraka ni wale ambao account zao zilikuwa kwenye banker wa account za chuo.
 
jaman wana jf am new member naomc msaada wenu mkopo 2386300 ada laki nane je nalipa ada sh ngapi au nna asilimia ngapi ?
 
jaman wana jf am new member naomc msaada wenu mkopo 2386300 ada laki nane je nalipa ada sh ngapi au nna asilimia ngapi ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom