hii ni njia mmbadala ya kupata GPA kali kama msuli ukikushinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii ni njia mmbadala ya kupata GPA kali kama msuli ukikushinda

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mao ze dong, Sep 27, 2012.

 1. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  javascript:void(0)
   

  Attached Files:

 2. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ni kuweka povu kwenye tiles then unateleza juu...
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  huyu mtu tunampenda sana..na sisi tunapenda sana kumwita KILAZA au DEKI AMBAYO HAINA CD!! huyu anafaulu kwa kutoa kushoto kupeka kulia kulia kupeleka kushoto kwa lugha rahisi ameteleza kwenye tiles,au kamwaga povu au sabuni kwenye tiles na akateleza au amekanyaga ganda la ndizi...HUYU TUNAMWITA KILAZA....na anatia hasara nchi kwa kuchukua mkopo afu anakopi na kupesti!!!!!
   
 4. M

  MLEKIZAYO Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  HIYO NOMA,acha kutufundisha kukopi.ila nilitegemea utaelekeza mbinu za ukweli na uhalali
   
 5. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Anakuonesha hali halisi, wewe chagua njia bora ya kufuata baada ya kutafakari kwa kina.
   
Loading...