Kwa waliokosa mikopo heslb

Baba advent

Member
Nov 23, 2011
72
16
Jamani mi miongoni mwa waathirika wa heslb,kwa kutopata hata cent 1,lakin baada ya kuwaendea heslb ofisin kwao wamesema hivi:
Kwa waombaji waliokosa mikopo yaani majina yao hayapo kwenye web ya bodi pamoja na wale hawajaridhika na kiasi cha pesa ambacho bodi imetoa kwao, wataruhusiwa kukata rufaa kuanzia tar. 1.10.2012,baada ya bodi kuweka utaratibu kupitia www.heslb.co.tz.
 
mtapoteza izo pesa zenu.
mwaka jana hali ilikuwa kama ivyo.
kama course yako sio priority msijisumbue
 
duh kwa hyo mwaka jana waliopata ni wale 2 waliokuwa na priority course hatari xana ila mm ntajarbu hvyo hvyo mungu ndo anajua
 
Tusha choka,.upuuzi wa heslb! Mwaka jana tumepoteza ela zetu,..atujapata ata sh.o/=....! Bora mjipange tu home..
 
bt si wameshasema budget haikukutosha? Xana hzo pexa nyin4ne watazitoa wapi kama si kudanganyana? Hebu funguken wasomi, kuliko kuibiwa bila 7b
 
acheni kuvunjana moyo.....appeal results zilizokuwepo kabla ya loan allocation kutoka zile course zote ambazo watu walipata zilikuwa prio??
 
Back
Top Bottom