Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

ivi BBA-MKTNG,BCOM-MKTNG na MKTNG zna tofaut gan? apart kua marketing manager/oficer unaweza ukafanya kaz gani nyingine? pia kwamfano umesoma BBA-MKT ina maana u r a busines administrator or you...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Wana jf mara nyingi nimesikia malalamiko kuhusu necta ktk usahishaji mitihani kiwango cha sekondari ngazi zote(o-level hadi advance),watahiniwa binafsi wanasahishiwa kwa kiwango cha kufaulu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za Mchana wanaJf. Wadau kulikuwa na thread humu jukwani iliyohusu kuwanunulia watoto vitabu kuwa vinaenmcourage kusoma. Mimi nilifuata ule ushauri ni kamnunulia mtoto wangu vitabu 2 na...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Habari wasomaji wote. Ningependa kuwashirikisha wanabodi wote hapa ya kuwa katika serikali hii ya JMT kuna mamlaka inayojishughulisha na masuala ya hali ya hewa nchini. Kuna watu wengi pengine...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jina la chet cha kuzaliwa ni tofaut na nnalo 2mia shule.Na nahitajika kuambatanisha hicho chet ktk form ya mkopo.Issack>isack je kuna shida?
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Wana jf naomba mnijulishe mipaka Ya Tanzania kwa Majina na Eneo husika. Mfano Tanzania mkoa wa Mbeya umepakana Malawi(Kasumulo) na zambia(Tunduma), Mwenye kuijua azidi atujuze...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Viongozi wa kesho watakuwa na ujuzi gani ikiwa waalimu wao wanawauzia wanafunzi mitihan?
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Wakati naanza shule ya msingi,niliaminishwa na kuamini kuwa wanafunzi wanaosoma Shule za Serikali ndio wenye 'akili' kuliko wale wa shule za binafsi.Nikaendelea kuamini hivyo hata nilipoanza...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Africa Scholarships Program: Alma Graduate School (the business school of the University of Bologna) and the Foundation for World Wide Cooperation are pleased to announce the "Africa Scholarship...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Shida yangu ndio hiyo, na kama wametoa, je mwenye kufahamanijuze samahan kwa usumbufu
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Binafsi namkumbuka mwl wangu wa Literature miaka hiyo pale Shinyanga sec aliitwa mwl Mipawa almaarufu kama Okonkwo. Alikuwa akija na mtoto wake darasani na huku yeye anakula kiazi na kufundisha...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi kwa nini mitihani ya UE isiwe inasahishwa na bodi maalumu kama ilivyo NECTA kwa shule za secodary natamani iwe hivi ili kupunguza unfair zinazotendwa na wahadhili wetu hapa Tz.Unakuta mdhari...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Nashauri mitihani ya masomo ya dini isahihishwe huko huko misikitini na makanisani na wawekeane maksi watakazo kama ni 100% sawa kama ni 0% poa pia matokeo wapeane hukohuko ktk nyumba za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Itaongeza ufanisi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bachelor of science general inahusiana na mambo gani?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimesema hivyo kwa sababu, mimi binafsi nimesoma shule ya serikali nikiwa O'level then nikasoma shule ya private ktk A-level. Nikiwa O'level, kuna walimu ni wazi walikuwa wachovu ktk masomo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ajabu Marekani ukienda kwenye Interview hawaulizi vyeti kabisa wala copy za vyeti haziko kokote kazini. Nilipokwenda kwenye interview yangu ya kwanza nilikwenda na vyeti vyangu vya Tanzania...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Watu wanalilalamikia baraza la mitihani la taifa (necta).nami nakubaliana nao na naona ipo haja ya kulimulika baraza hilo. Kumekuwa na malalamiko kwamba usahihishaji wa mitihani si wa kuridhisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
iweje unaingia darasani umevaa mlegezo kiunononi?iweje unaingia kufundisha darasani una headphone masikioni?iweje unavimendea vitoto vidooogo?unafundisha umekaa juu ya meza?unaingia kufundisha uko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kunandugu yangu alikuwa ananishauri nisome hiyo kozi lakini sina ufahamu wa kutosha kwamba inahusika na nini zaidi na market yake ikoje. Tafadhali kwa mwenye uelewa anijulishe
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom